Hivi sindano au sylinge kama hii zimetengenezwa kwa matumizi gani ktk kipindi hiki cha kudungana vijanjo vya majaribio?

Hivi sindano au sylinge kama hii zimetengenezwa kwa matumizi gani ktk kipindi hiki cha kudungana vijanjo vya majaribio?

uzee wangu huu ndo naziona hizi sindano hapa duu JF ni balaaa
 
Kijijini mkuu...
Sindano badala ya kukuchoma inajichoma yenyewe kwa kujirudisha kwenye bomba na ukiitoa sehemu unapochoma inajirudisha kama vile inatoka mwilini kwako!
 
Sindano badala ya kukuchoma inajichoma yenyewe kwa kujirudisha kwenye bomba na ukiitoa sehemu unapochoma inajirudisha kama vile inatoka mwilini kwako!
Ok. Ndizo walizotudanganyishia mawaziri wa uingereza,Australia. Zilionyeshwa sana mtandaoni wanavyodanganya wanachoma kumbe hewa
 
Ila angejaribia kwenye bega ndio ningemwelewa. Pamoja na kwamba ina spring, lazima itoboa bega.
 
Unajua nimetafakari sana mtu kubuni na mpaka anaingia gharama ya kutengeneza na kusambaza 4 what?

Hizo ni retractable needle ambazo hutumika kwenye movies
Kama risasi fake na visu
Wanatuwekea sindano za kwenye filamu halafu wanasema ni za Covid
Lakini technology haidanganyi na watu wameumbuka sana kwa hili

Ila wanaokurupuka bila kufanya utafiti hata google ( ambao wapo wengi)
Ndio hao wanaosumbua wenzao
 
Back
Top Bottom