Hivi sisi tuliopata transfer utaratibu unakuaje?

Hivi sisi tuliopata transfer utaratibu unakuaje?

clappie84

Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
19
Reaction score
2
Transfer nimepata na pesa nimelipia ya transfer sasa sijui kifuatacho ni nini !

Je ! naenda kuripoti nilipopangwa au nasubiri TCU tena ?
 
Ndugu yang hata mim xjaelewa ila nimeamua kwenda nilipohamia nahc hukohko nitajua utaratibu ukoje maana nikisema tena niwasubirie TCU nitakauka machozi
 
jina langu lilikua kwenye first batch nikalipia ile 30000 then juz nkaenda chuo husika nikaambiwa chuo hakina taarifa yoyote toka tcu nimeshindwa kuelewa kwamba TCU tatizo ninin alafu kwa nin hajatoa taarifa ya namna ya kuripoti kwa sisi ambao tumepata transfer??
 
Kama tulivyokuwa tukifuatilia majibu ya transfer kabla hayajatoka pia yatupasa kufuatilia namna ya kuingia vyuo tulivyopangiwa na tcu baada ya transfer. Hivyo kwa wale wa Dar tujitahidi kwenda TCU physically, huenda wakawa na majibu ya moja kwa moja.
 
Kwani wametoa majina mkuu baada ya kulipia kuthibitisha umepata transfer tayari???
 
Mimi nimekuja hapo duce kutaka kujisajili na nimepangiwa pale kwa njia ya transfer lakini wametuambia bado majina ya waliopangiwa pale kwa nija ya transfer TCU hawajayapeleka na wala admission letters zetu bado hazijafika ila wakatuambia tunaweza kuendelea kusoma sasa hapo inakuwa ngumu kwa upande wetu kwa sabau tunashindwa kuelewa ni masomo gani tutapangiwa japo wengi waametuambia kuwa unaangalia yale masomo uliofaulu vizuri,hizo ndo taarifa nilizo nazo
 
Hawa tcu washazingua lecture znaendelea vyuon af watu tuko mitaan feedback inahtajka alaah!
 
Angalien knye profile zenu muone kama kuna mabadiliko mm imeshabadilika alafu tcu wameshapeleka vyuon...
 
Mimi nimekuja hapo duce kutaka kujisajili na nimepangiwa pale kwa njia ya transfer lakini wametuambia bado majina ya waliopangiwa pale kwa nija ya transfer TCU hawajayapeleka na wala admission letters zetu bado hazijafika ila wakatuambia tunaweza kuendelea kusoma sasa hapo inakuwa ngumu kwa upande wetu kwa sabau tunashindwa kuelewa ni masomo gani tutapangiwa japo wengi waametuambia kuwa unaangalia yale masomo uliofaulu vizuri,hizo ndo taarifa nilizo nazo

Nami pia Duce mkuu. Nilienda juz wakanijibu kama wewe tu. Kesho nafuatilia TCU
 
Back
Top Bottom