Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kesho ndo naenda then kama utakuwa haujaenda nitakupa feedback.
Kama yupo aseme maana watu hatujui kinachoendelea
Mimi nimekuja hapo duce kutaka kujisajili na nimepangiwa pale kwa njia ya transfer lakini wametuambia bado majina ya waliopangiwa pale kwa nija ya transfer TCU hawajayapeleka na wala admission letters zetu bado hazijafika ila wakatuambia tunaweza kuendelea kusoma sasa hapo inakuwa ngumu kwa upande wetu kwa sabau tunashindwa kuelewa ni masomo gani tutapangiwa japo wengi waametuambia kuwa unaangalia yale masomo uliofaulu vizuri,hizo ndo taarifa nilizo nazo
Angalien knye profile zenu muone kama kuna mabadiliko mm imeshabadilika alafu tcu wameshapeleka vyuon...