Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamatakamatanimekaa nikawaza bado sijapata jibu nimeona niwashirikishe wenzangu mnisaidie jibu hivi sisi wa Tanzania mchezo gani tunouweza tukajivunia kama taifa Maana sasa hivi vijana wamebaki ushabiki wa Timu za ulaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..You are nutsRede tunaweza maana tutaona chupi za kutosha
nimekaa nikawaza bado sijapata jibu nimeona niwashirikishe wenzangu mnisaidie jibu hivi sisi wa Tanzania mchezo gani tunouweza tukajivunia kama taifa Maana sasa hivi vijana wamebaki ushabiki wa Timu za ulaya