Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bavicha acha ushambaNi haki kweli hii wakuu?
Anzisheni JamiiForums yenu tu hakuna namna kushare na itel!Ni haki kweli hii wakuu?
Unauliza nini mkuu ? Kwani unapotumia hicho ki Iphone chako na mwingine Itel hizo keyboards zake zinatofauti kwamba ukiandika embe kwenye Iphone basi Itel itaandika magimbi ?Mi nauliza kama zinachanganyikana
Wewe ni mtu wa ajabu sana.Yaani unaona kuwa na Galaxy au iPhone inakufanya uwe bora zaidi kuliko mwenye Tecno.Hapana ndugu yangu,hayo ni mambo tu ya kupita,wala hayakufanyi uwe a better person than others.Change your mindset.Ni haki kweli hii wakuu?
Wewe upo kwenye itel au tecno??? [emoji2] jamaa anazingua huyu nawajua watu wanaomiliki iphone 6 sometym ata pesa ya vocha anagongea.Hacha ubwe.ge