Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Mtoa mada kachemka, wabongo kwa kupenda misifa, utakuta anamiliki simu ya gharama lakini anapanga, fikiri kabla ya kuongea mkuu
 
Ni haki kweli hii wakuu?
Wewe ni mtu wa ajabu sana.Yaani unaona kuwa na Galaxy au iPhone inakufanya uwe bora zaidi kuliko mwenye Tecno.Hapana ndugu yangu,hayo ni mambo tu ya kupita,wala hayakufanyi uwe a better person than others.Change your mindset.
 
Back
Top Bottom