Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Kuonesha ushamba wako hujui hata aina za simu umeshindwa kuandika iphone gan? Na samsung umeandika S 6 ukidhan ndo bora wakati kuna S7 edge
Sasa mi ntataja vipi Simu nsiyokuwa nayo? Mi hiyo s7 sina
Mapovu[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Tecno izo sio samsung
Kwanza andika vizuri kama unataka kuongelea viwango na ubora.

Andika "hizo" si "izo".

Ukishindwa hilo, siwezi kujua kama unafahamu viwango na ubora ni vitu gani.
 
Pole sana kwahiyo unatumia tecno?
 
Kwanza andika vizuri kama unataka kuongelea viwango na ubora.

Andika "hizo" si "izo".

Ukishindwa hilo, siwezi kujua kama unafahamu viwango na ubora ni vitu gani.
Kwani na wewe una tecno mkuu?
 
We travel not to escape life but rather not life to escape us......
Safari ndeeeeeefu
 
Unauliza nini mkuu ? Kwani unapotumia hicho ki Iphone chako na mwingine Itel hizo keyboards zake zinatofauti kwamba ukiandika embe kwenye Iphone basi Itel itaandika magimbi ?
Tofauti ipo mkuu, tena kubwa sana, hiki kitecno changu saa nyingine naogopa kumtumia msg mtu tunayeheshimiana, maana ukiandika tu mambo? Yenyewe inaongezea mambooooo?

Pili keyboard settings zake hazina kumbukumbu kabisa, unaiseti sasa hivi ukikata kona tu mtaa wa pili kosa, wewe unaandika hivi yenyewe inabadili maneno inayopenda yenyewe.

Mateso yote haya ya nini?
Unauliza nini mkuu ? Kwani unapotumia hicho ki Iphone chako na mwingine Itel hizo keyboards zake zinatofauti kwamba ukiandika embe kwenye Iphone basi Itel itaandika magimbi ?

Duuh we una uhakika wa kuamka kesho???

Unauliza nini mkuu ? Kwani unapotumia hicho ki Iphone chako na mwingine Itel hizo keyboards zake zinatofauti kwamba ukiandika embe kwenye Iphone basi Itel itaandika magimbi ?
 
Kwanza andika vizuri kama unataka kuongelea viwango na ubora.

Andika "hizo" si "izo".

Ukishindwa hilo, siwezi kujua kama unafahamu viwango na ubora ni vitu gani.
Tecno hizo sio Samsung eeeeh [emoji120]
 
UnaIphone au Galaxy 6 7 lakini haupo VP JF uko na sisi kina mulika mwizi upande wa pili bado wanakuona choko tu
 
Naona unamuulizia scorpion utaishia kushika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…