Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mi ntataja vipi Simu nsiyokuwa nayo? Mi hiyo s7 sinaKuonesha ushamba wako hujui hata aina za simu umeshindwa kuandika iphone gan? Na samsung umeandika S 6 ukidhan ndo bora wakati kuna S7 edge
Kwanza andika vizuri kama unataka kuongelea viwango na ubora.Tecno izo sio samsung
Pole sana kwahiyo unatumia tecno?mbere
Hivi bado kuna viumbe ambao wamenyimwa aibu kiasi cha kuwa bado wanatamba kwa kuwa na simu za Samsung?
Simu zangu za zamani za Samsung hata kutumia kama bluetooth players nipigie mp3 situmii.
Hata kumfungia mbwa wangu shingoni kama tracker siwezi, zisije kumlipukia bure.
Tofauti ipo mkuu, tena kubwa sana, hiki kitecno changu saa nyingine naogopa kumtumia msg mtu tunayeheshimiana, maana ukiandika tu mambo? Yenyewe inaongezea mambooooo?Unauliza nini mkuu ? Kwani unapotumia hicho ki Iphone chako na mwingine Itel hizo keyboards zake zinatofauti kwamba ukiandika embe kwenye Iphone basi Itel itaandika magimbi ?
Unauliza nini mkuu ? Kwani unapotumia hicho ki Iphone chako na mwingine Itel hizo keyboards zake zinatofauti kwamba ukiandika embe kwenye Iphone basi Itel itaandika magimbi ?
Duuh we una uhakika wa kuamka kesho???
Unauliza nini mkuu ? Kwani unapotumia hicho ki Iphone chako na mwingine Itel hizo keyboards zake zinatofauti kwamba ukiandika embe kwenye Iphone basi Itel itaandika magimbi ?
Tecno hizo sio Samsung eeeeh [emoji120]Kwanza andika vizuri kama unataka kuongelea viwango na ubora.
Andika "hizo" si "izo".
Ukishindwa hilo, siwezi kujua kama unafahamu viwango na ubora ni vitu gani.
Take care about your stuff n every things with you while we GoBasi saawa
Hapa mjini anayetambulika ni baba mwenye nyumba tu, si baba mwenye gari wala baba maphone.Unatambulikaje km una iPhone n Galaxy 6?