Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sifahamu Tecno ni dubwana gani na ninakoishi mimi madude kama hayo yamepigwa marufuku .Kwani na wewe una tecno mkuu?
Kwa wanaojua simu kwa sasa Tecno na Samsung zote fungu moja tu, labda zinazidiana daraja katika fungu la simu mbovu.Tecno hizo sio Samsung eeeeh [emoji120]
Basi sawa [emoji122][emoji122][emoji122]Kwa wanaojua simu kwa sasa Tecno na Samsung zote fungu moja tu, labda zinazidiana daraja katika fungu la simu mbovu.
Nami nimetumia Samsung kwa kama miaka 10 iliyopita mpaka nimeacha mwaka jana. Nimeanzia kwenye flip phone mpaka Note 2 all the way to 6. Kila ikitoka Note mpya nilikuwa nachukua.Tena Samsung bora hata simu za zamani kuliko hizi mpya.Kwa hiyo nazijua.
Tofauti zipo, button za itel, tecno, huaiwei zinaumiza vidole, i mean ngumuUnauliza nini mkuu ? Kwani unapotumia hicho ki Iphone chako na mwingine Itel hizo keyboards zake zinatofauti kwamba ukiandika embe kwenye Iphone basi Itel itaandika magimbi ?
Tofauti ipo kubwa tu, simu ya laki 2 huwez compare na simu ya 1.5mWewe ni mtu wa ajabu sana.Yaani unaona kuwa na Galaxy au iPhone inakufanya uwe bora zaidi kuliko mwenye Tecno.Hapana ndugu yangu,hayo ni mambo tu ya kupita,wala hayakufanyi uwe a better person than others.Change your mindset.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tofauti zipo, button za itel, tecno, huaiwei zinaumiza vidole, i mean ngumu
Utakuta simu ya laki 2 ina Android 5.1 na ya milioni 1.5 ina Android 4.4Tofauti ipo kubwa tu, simu ya laki 2 huwez compare na simu ya 1.5m
Kwasababu unamiliki tecno?Hii ndiyo maada ya kishamba toka mwaka huu uanze
Mkuu kwani Si una Toleo jipya la tecno wewe? Why povuzWatu mnakaa na visimu vya kuhongwa mnavimba kama mimba za mbilikimo bora itel na tecno ya jasho kuliko iphone na galaxy za kushikishwa ukuta.
Tena shukuru sana leo sipo kwenye mood ya kutukana.
Au akiandika Sharif Hamad kwenye Iphone basi Itel itaandika Prof Lipumba .Unauliza nini mkuu ? Kwani unapotumia hicho ki Iphone chako na mwingine Itel hizo keyboards zake zinatofauti kwamba ukiandika embe kwenye Iphone basi Itel itaandika magimbi ?
Aisee upo vizuri yaani kila ikitoka mpya ulikuwa unachukua, inaelekea mambo muhimu yote Mzee umeshayamaliza. Big up kwako me hata kiwanja bado siwezi shindana na simu.Kwa wanaojua simu kwa sasa Tecno na Samsung zote fungu moja tu, labda zinazidiana daraja katika fungu la simu mbovu.
Nami nimetumia Samsung kwa kama miaka 10 iliyopita mpaka nimeacha mwaka jana. Nimeanzia kwenye flip phone mpaka Note 2 all the way to 6. Kila ikitoka Note mpya nilikuwa nachukua.Tena Samsung bora hata simu za zamani kuliko hizi mpya.Kwa hiyo nazijua.
Tukijitenga nyie wenye tecno mtachat na nan mkuu?UnaIphone au Galaxy 6 7 lakini haupo VP JF uko na sisi kina mulika mwizi upande wa pili bado wanakuona choko tu
Siku zote wanasema kimbiza mwizi kimya kimya hakuna anaejua mwenzake humu anatumia simu ya aina gani kila mtu anaona tu comment tu wengine tupo kwenye dekstop ila ujanja mwingi kama vile tuna iphone 8Mkuu kwani Si una Toleo jipya la tecno wewe? Why povuz
Ni mipango tu ya maisha.Aisee upo vizuri yaani kila ikitoka mpya ulikuwa unachukua, inaelekea mambo muhimu yote Mzee umeshayamaliza. Big up kwako me hata kiwanja bado siwezi shindana na simu.
Mpo kwenye karne ya karl peterSasa na sisi tunaotumia nokia tochi sijui tuseme nini sasa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]