Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Teh teh teh wameenda kanisaniHuwa hawarudi mambo yakiwa tofauti
Watu wanabet Kwa mahaba lazima waliwe tu.Mkeka umechanwa,ndoto ya buku 60,000 imefutwa leo unalaza watoto njaa
We jamaa na Dr. Leakey Abdallah ni noma aiseeLeo CR7 atajizolea misifa mpaka basi,Mo SALAH atakumbana na beki mhuni RAMOS and he will be totally blanked!mpaka kipyenga cha mwisho,liverpool fans mtabaki mmejishika viuno,hapo ndo mtajua ni kosa kubwa sana kuingia na madrid uwanjani huku ndoo imewekwa hadharani.
We jamaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo CR7 atajizolea misifa mpaka basi,Mo SALAH atakumbana na beki mhuni RAMOS and he will be totally blanked!mpaka kipyenga cha mwisho,liverpool fans mtabaki mmejishika viuno,hapo ndo mtajua ni kosa kubwa sana kuingia na madrid uwanjani huku ndoo imewekwa hadharani.