Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
Ronaldo benzema na Bale unaweza linganisha na hao wachafu?
Hao wachafu?
Usiukimbie huu uzi leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ronaldo benzema na Bale unaweza linganisha na hao wachafu?
Umezungumza KituKwa beki ipi ya liverpool inaweza ikawazuia hao jamaa wasitupie goli zaidi ya 2?beki ipi ?
Ramos Anakaba Wote Watatu HaoUkuta gani wa Madrid utazuia hivyo vichwa vitatu mkuu?
Tayari SALAH ashafanyiwa yake na RAMOSLeo CR7 atajizolea misifa mpaka basi,Mo SALAH atakumbana na beki mhuni RAMOS and he will be totally blanked!mpaka kipyenga cha mwisho,liverpool fans mtabaki mmejishika viuno,hapo ndo mtajua ni kosa kubwa sana kuingia na madrid uwanjani huku ndoo imewekwa hadharani.
Kipindi cha kwanza ulimi nini?Jilipue mkuu,lkn Leo hamna draw leo kipindi cha kwanza tu Madrid ulimi nje
Utabiri wangu unakaribia,RAMOS kashafanya yake!Leo CR7 atajizolea misifa mpaka basi,Mo SALAH atakumbana na beki mhuni RAMOS and he will be totally blanked!mpaka kipyenga cha mwisho,liverpool fans mtabaki mmejishika viuno,hapo ndo mtajua ni kosa kubwa sana kuingia na madrid uwanjani huku ndoo imewekwa hadharani.
Huwa hawarudi mambo yakiwa tofautiMpo watabiri
HahahaHuwa hawarudi mambo yakiwa tofauti
Na uzi ndio umeisha ila pakipambazuka nitawaitaHahaha
Liverpool bana waliingia uwanjani na coincidence yaoNa uzi ndio umeisha ila pakipambazuka nitawaita
Utabiri wangu unakaribia,RAMOS kashafanya yake!
Mkeka umechanwa,ndoto ya buku 60,000 imefutwa leo unalaza watoto njaaKatika mechi ya leo UEFA eti odds wamezigawa hivi.
Madrid-2.08
Draw-3.78
Liverpool -3.01
Leo kuna watu wanawapiga hawa jamaa mamilioni bila huruma, tayari nimeweka 20,000 asubuhi kesho nimeshapata elfu 60 ya kusogezea wiki ijayo, ningekuwa nina mtaji ningejilipua milioni 30 Jumamosi halafu Jumapili naenda kununua nyumba ya milioni 80.
In short there is no chance in the world Madrid anaweza pita bila kufungwa goli za kutosha.
Kama leo kingeitwa kikosi cha mpira duniani basi wachezi watatu wa mbele wangetoka Liverpool.
Profesa mmoja wa chuo kikuu cha Cambridge alisema kama kuna timu duniani inataka sahihi ya Firminho, Mane na Salaah kwa wakati mmoja itabidi iwe na kiasi cha euro bil 1.5 .
Mkuu makampuni ya Betting wana akili nyingi mno hao Huwa hawakosei kirahisi hivyo.Hizo Odds zilikuwa sawasawa.Katika mechi ya leo UEFA eti odds wamezigawa hivi.
Madrid-2.08
Draw-3.78
Liverpool -3.01
Leo kuna watu wanawapiga hawa jamaa mamilioni bila huruma, tayari nimeweka 20,000 asubuhi kesho nimeshapata elfu 60 ya kusogezea wiki ijayo, ningekuwa nina mtaji ningejilipua milioni 30 Jumamosi halafu Jumapili naenda kununua nyumba ya milioni 80.
In short there is no chance in the world Madrid anaweza pita bila kufungwa goli za kutosha.
Kama leo kingeitwa kikosi cha mpira duniani basi wachezi watatu wa mbele wangetoka Liverpool.
Profesa mmoja wa chuo kikuu cha Cambridge alisema kama kuna timu duniani inataka sahihi ya Firminho, Mane na Salaah kwa wakati mmoja itabidi iwe na kiasi cha euro bil 1.5 .
We jamaa utakuwa ndiyo ulikuwa unatukana matusi machafu pale Bar baada ya mechi kuisha.By the way jana watu wengi wameliwa balaa.Jilipue mkuu,lkn Leo hamna draw leo kipindi cha kwanza tu Madrid ulimi nje
Waeleze haoLeo CR7 atajizolea misifa mpaka basi,Mo SALAH atakumbana na beki mhuni RAMOS and he will be totally blanked!mpaka kipyenga cha mwisho,liverpool fans mtabaki mmejishika viuno,hapo ndo mtajua ni kosa kubwa sana kuingia na madrid uwanjani huku ndoo imewekwa hadharani.