Basi ngoja na wenyewe wajifunze ukabila wenu nyie wakina Massawe inaonekana imetoka Rombo siku nyingi sana ,Rombo uko vijana wanalewa hadi wanashindwa kuzalisha hadi wanawake wanaenda kutafuta wanaume KenyaUstarabu ni kuwekeza dar alafu ulienda kwenu unalala kwenye vichaka? choo tu tabu
Jengeni makwenu kuku nyie
Kulewa ni starehe kaka , na sio Kila mtu ni mleviBasi ngoja na wenyewe wajifunze ukabila wenu nyie wakina Massawe inaonekana imetoka Rombo siku nyingi sana ,Rombo uko vijana wanalewa hadi wanashindwa kuzalisha hadi wanawake wanaenda kutafuta wanaume Kenya
Mjinga wewe"Wanyama hanga". [emoji849].
Wahaya wengi wapumbavu na hawana umoja hata wao kwa wao ni wanafiki.
Mnazani kuongea kilugha ndio umoja.
Labda Kuna Moshi nyingine sio hii...Stendi Mpya ya Moshi ipo kwenye asilimia 90% kukamilika
Hata hivyo Moshi stendi ya Sasa Bado ni nzuri inahitaji tu marekebisho madogo na kupakwa rangi majengo
Wahaya wanabishana sana hiyo stendi wengi wao awataki stendi mpya
Hata hivyo Moja ya miji yenye barabara za lami za uhakika na standard ya juu ni Moshi
Ukichukua ukubwa wa barabara zote za Moshi ( Lami za mitaani hata Arusha aiingii ndani
Mji umepangiliwa kwa asilimia 80% Barabara ni pana na zenye hifadhi ya kutosha
Hahah utakua umeliwa hela na binti wa kichaga weweLabda Kuna Moshi nyingine sio hii...
Barbara za mijohoroni, majengo, Kule karibu na gest ya twiga lodge Barbara kibao ni za vumbi na nyumba ni za kizamani kama magomeni suna....hapo mjini kati hio double road haina sidewalks na ina mashimo kibao mkuu...au unataka nipost picha?
Stendi Iko asilimia 80 wap mkuu wakati ujenzi ulisitishwa toka 2021 walikuwa chemchem chini...
Hii stendi ya sasa ya Moshi ni kituko kwanza imechakaa na Kuna vibanda Kila mahali...wapiga debe wote ni walevi...
Bila kusahau vidaladala vyote vya kuelekea kibosho, Machame, marangu etc vimechoka kweli kweli vingine vina kunguni..
Kama unabisha naleta picha...
Mkuu Kila sehemu Kuna matatizo yake ila Moshi nayo ni mji wa kuangaliwa sana na mbaya zaidi nyinyi wachagga hamuoni huu uozo....mko hapa mnajitapa uongo wakati nyinyi pia ni WA kuonewa huruma
Mtu akisema ukweli sio...na nakuja na pichaHahah utakua umeliwa hela na binti wa kichaga wewe
Uwezi fananisha Moshi na kwenu Bukoba
Mji wa Himo tu ni size yenu
Hahah utakua umeliwa hela na binti wa kichaga wewe
Uwezi fananisha Moshi na kwenu Bukoba
Mji wa Himo tu ni size yenu
Wala hatutaki Bukoba ifananishwe na Moshi mkuu...Moshi ni Kijiji kilichochangamka...Hahah utakua umeliwa hela na binti wa kichaga wewe
Uwezi fananisha Moshi na kwenu Bukoba
Mji wa Himo tu ni size yenu
Tusi liko wapi hapo? Kwani kuwaambia watu ukweli ni kuwatukana?Acha kuwatukana wakwe zangu
Basi wasitusumbue na malalamiko yao.Wewe wahaya huwajui! Wanajua kila kitu!
🤣🤣🤣Wakishakunywa mbegehh wanajiona wako nyuyokuWala hatutaki Bukoba ifananishwe na Moshi mkuu...Moshi ni Kijiji kilichochangamka...
Imagine hii ndo mitaa ya Moshi mjini....wanaojisifia wameendelea...
Na ukiendelea kubisha nitakuumbua... Bukoba at least matatizo yake yanasolviwa stendi inajengwa, Barbara ya njia nne, Barbara nyingi zinawekewa Taa etc...
Moshi hakuna mradi wa maana unaoendelea wako wanaojisifia wameendelea sijui ni wap Tz ni first world
Wako wanaicheka Bukoba....Tazama kwao moshi palivyo hovyo kabisa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakishakunywa mbegehh wanajiona wako nyuyoku
Waache watakuja kushtuka ni WA mwisho..acha takwimu za NBS ziendelee kuwandanganya...🤣🤣🤣Wakishakunywa mbegehh wanajiona wako nyuyoku