Labda Kuna Moshi nyingine sio hii...
Barbara za mijohoroni, majengo, Kule karibu na gest ya twiga lodge Barbara kibao ni za vumbi na nyumba ni za kizamani kama magomeni suna....hapo mjini kati hio double road haina sidewalks na ina mashimo kibao mkuu...au unataka nipost picha?
Stendi Iko asilimia 80 wap mkuu wakati ujenzi ulisitishwa toka 2021 walikuwa chemchem chini...
Hii stendi ya sasa ya Moshi ni kituko kwanza imechakaa na Kuna vibanda Kila mahali...wapiga debe wote ni walevi...
Bila kusahau vidaladala vyote vya kuelekea kibosho, Machame, marangu etc vimechoka kweli kweli vingine vina kunguni..
Kama unabisha naleta picha...
Mkuu Kila sehemu Kuna matatizo yake ila Moshi nayo ni mji wa kuangaliwa sana na mbaya zaidi nyinyi wachagga hamuoni huu uozo....mko hapa mnajitapa uongo wakati nyinyi pia ni WA kuonewa huruma