Hivi Steve Nyerere bado tunamuita Msanii?

Hivi Steve Nyerere bado tunamuita Msanii?

Huyu kelbu shuguli yake kubwa ni ukuwadi sasa kwa awamu hii wakuchunwa hawapo hivyo hana shuguli nyengine ya kumuingizia kipato zaidi ya ubabaishaji
 
Yaani hasira za kuvunjwa kwa kaukuta kenu unazihamishia kwa Steve Nyerere? We dogo vipi
 
Huyu ni dalari wa bongo movie wanawake yani wewe km unamtaka mwanamke yoyote msanii wa bongo movie muone Steve hana kazi ingine zaidi ya hiyo
 
Kuna huyu bwana mdogo anaitwa Steve Mangere, siku za nyuma tulizoea kumwona katika majukwaa akimwigiza sauti hayati Baba wa Taifa, kutokana na hilo akaanza kujiita Steve 'Nyerere', hivi siku hizi anafanya nini, hivi na yeye bado tunamwita msanii?

Huyu jamaa toka azimwe na wasanii wachanga wa kuigiza sauti, siku hizi hayupo kabisa kwenye Game badala yake amebaki kudandia dandia vitu tu hata asivyovijua hasa kwenye suala la Siasa za kutetea kile Chama cha Mapinduzi, mara leo Kampeni, mara kageuka msemaji wa wasanii juu ya UKUTA, yaani UKUTA uliowashinda akina Kinana yeye ndo atauweza?!

Alijaribu kuingia kwenye Maigizo mpaka wakampa na cheo cha Rais wa Bongo Movie lakini bado na kwenyewe kachemka, tuna haja gani ya kuendelea kumtambua kama Msanii?? Na toka wamnyime Ukuu wa Wilaya naona kama kavurugwa zaidi, au nyie mnamwelewa? Usanii umemshinda, Siasa haiwezi, apumzike tu Nyumbani, wakati mwingine hata kukaa kimya nayo ni Busara

maxresdefault.jpg
Huwa nashangaa sana naye kujiita msanii,siwezi poteza muda kumsikiliza huyu mpiga domo
 
Ndio nani huyu? sielewi ni Mzee au Kijana.. au ndio Sura Mbili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na wewe una vituko hivi?
Nakuiga wewe my dada jana umenipa ubuyu mtamu sana ule wa Zari wa Shemeji tunakulaga.uwe unanitag basi my dada sisi wazee lkn ubuyu tunaupenda siasa nazo zinachosha baba Jesca anazingua sana
 
Nakuiga wewe my dada jana umenipa ubuyu mtamu sana ule wa Zari wa Shemeji tunakulaga.uwe unanitag basi my dada sisi wazee lkn ubuyu tunaupenda siasa nazo zinachosha baba Jesca anazingua sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali mkuu,subiri UKUTA upite nitawaletea ubuyu mtachoka wenyewe.
 
Back
Top Bottom