Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo ndio umeua kabisaSubiri utokee msiba wa mtu au msanii maarufu, pale kwenye kipengele cha Kuchangisha michango ya rambirambi ndio utamuona huyu mtu
Mkuu nini maana ya neno madanga?Huyu kazi yake ni kuwatafutia madanga kina wema sepetu ili ajipatie walau bia za bure.
Wanaume wenye pesa za kuhonga wasichana au vijana ( wakiume / wakike )Mkuu nini maana ya neno madanga?
Ha haaaaaHuyu ni dalari wa bongo movie wanawake yani wewe km unamtaka mwanamke yoyote msanii wa bongo movie muone Steve hana kazi ingine zaidi ya hiyo
Huwa nashangaa sana naye kujiita msanii,siwezi poteza muda kumsikiliza huyu mpiga domoKuna huyu bwana mdogo anaitwa Steve Mangere, siku za nyuma tulizoea kumwona katika majukwaa akimwigiza sauti hayati Baba wa Taifa, kutokana na hilo akaanza kujiita Steve 'Nyerere', hivi siku hizi anafanya nini, hivi na yeye bado tunamwita msanii?
Huyu jamaa toka azimwe na wasanii wachanga wa kuigiza sauti, siku hizi hayupo kabisa kwenye Game badala yake amebaki kudandia dandia vitu tu hata asivyovijua hasa kwenye suala la Siasa za kutetea kile Chama cha Mapinduzi, mara leo Kampeni, mara kageuka msemaji wa wasanii juu ya UKUTA, yaani UKUTA uliowashinda akina Kinana yeye ndo atauweza?!
Alijaribu kuingia kwenye Maigizo mpaka wakampa na cheo cha Rais wa Bongo Movie lakini bado na kwenyewe kachemka, tuna haja gani ya kuendelea kumtambua kama Msanii?? Na toka wamnyime Ukuu wa Wilaya naona kama kavurugwa zaidi, au nyie mnamwelewa? Usanii umemshinda, Siasa haiwezi, apumzike tu Nyumbani, wakati mwingine hata kukaa kimya nayo ni Busara
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri utokee msiba wa mtu au msanii maarufu, pale kwenye kipengele cha Kuchangisha michango ya rambirambi ndio utamuona huyu mtu
He he he!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na wewe una vituko hivi?Akikosa wa kuwadalalia mwisho atajiuza yeye
Nakuiga wewe my dada jana umenipa ubuyu mtamu sana ule wa Zari wa Shemeji tunakulaga.uwe unanitag basi my dada sisi wazee lkn ubuyu tunaupenda siasa nazo zinachosha baba Jesca anazingua sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na wewe una vituko hivi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuiga wewe my dada jana umenipa ubuyu mtamu sana ule wa Zari wa Shemeji tunakulaga.uwe unanitag basi my dada sisi wazee lkn ubuyu tunaupenda siasa nazo zinachosha baba Jesca anazingua sana
Asante Mkuu.Huyu kazi yake ni kuwatafutia madanga kina wema sepetu ili ajipatie walau bia za bure.