Hivi Steve Nyerere bado tunamuita Msanii?

Huyu kelbu shuguli yake kubwa ni ukuwadi sasa kwa awamu hii wakuchunwa hawapo hivyo hana shuguli nyengine ya kumuingizia kipato zaidi ya ubabaishaji
 
Yaani hasira za kuvunjwa kwa kaukuta kenu unazihamishia kwa Steve Nyerere? We dogo vipi
 
Huyu ni dalari wa bongo movie wanawake yani wewe km unamtaka mwanamke yoyote msanii wa bongo movie muone Steve hana kazi ingine zaidi ya hiyo
 
Huwa nashangaa sana naye kujiita msanii,siwezi poteza muda kumsikiliza huyu mpiga domo
 
Ndio nani huyu? sielewi ni Mzee au Kijana.. au ndio Sura Mbili
 
Subiri utokee msiba wa mtu au msanii maarufu, pale kwenye kipengele cha Kuchangisha michango ya rambirambi ndio utamuona huyu mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na wewe una vituko hivi?
Nakuiga wewe my dada jana umenipa ubuyu mtamu sana ule wa Zari wa Shemeji tunakulaga.uwe unanitag basi my dada sisi wazee lkn ubuyu tunaupenda siasa nazo zinachosha baba Jesca anazingua sana
 
Nakuiga wewe my dada jana umenipa ubuyu mtamu sana ule wa Zari wa Shemeji tunakulaga.uwe unanitag basi my dada sisi wazee lkn ubuyu tunaupenda siasa nazo zinachosha baba Jesca anazingua sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali mkuu,subiri UKUTA upite nitawaletea ubuyu mtachoka wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…