Hivi Steve Nyerere bado tunamuita Msanii?

Babu wa Kambo

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
559
Reaction score
808
Kuna huyu bwana mdogo anaitwa Steve Mangere, siku za nyuma tulizoea kumwona katika majukwaa akimwigiza sauti hayati Baba wa Taifa, kutokana na hilo akaanza kujiita Steve 'Nyerere', hivi siku hizi anafanya nini, hivi na yeye bado tunamwita msanii?

Huyu jamaa toka azimwe na wasanii wachanga wa kuigiza sauti, siku hizi hayupo kabisa kwenye Game badala yake amebaki kudandia dandia vitu tu hata asivyovijua hasa kwenye suala la Siasa za kutetea kile Chama cha Mapinduzi, mara leo Kampeni, mara kageuka msemaji wa wasanii juu ya UKUTA, yaani UKUTA uliowashinda akina Kinana yeye ndo atauweza?!

Alijaribu kuingia kwenye Maigizo mpaka wakampa na cheo cha Rais wa Bongo Movie lakini bado na kwenyewe kachemka, tuna haja gani ya kuendelea kumtambua kama Msanii?? Na toka wamnyime Ukuu wa Wilaya naona kama kavurugwa zaidi, au nyie mnamwelewa? Usanii umemshinda, Siasa haiwezi, apumzike tu Nyumbani, wakati mwingine hata kukaa kimya nayo ni Busara

maxresdefault.jpg
 
Maana ya msanii ni nini?

Labda turudi nyuma kujifunza maana ya literature

'The work of art which uses lanuage to reflect the social realities'

Steve anatumia lugha kufikisha ujumbe kwa watu, hata kama kumkubali lakini umeipata...
 
Steve nyerere ni msanii wa maigizo na wanasiasa ni wasanii wa kuhadaa na kudanya wanainchi na mtaji wao mkubwa ni ujinga wanainchi, kwa hiyo mi sioni kama kakosea, Steve nyerere piga ela kaka, kama wafanyavyo wanasiasa.
 
Maana ya msanii ni nini?

Labda turudi nyuma kujifunza maana ya literature

'The work of art which uses lanuage to reflect the social realities'

Steve anatumia lugha kufikisha ujumbe kwa watu, hata kama kumkubali lakini umeipata...
Umetoa maana ya literature na sio msanii.
 
Definitions
Collins English Dictionary
noun1. a person who practises or is skilled in an art, esp painting, drawing, or sculpture2. a person who displays in his work qualities required in art, such as sensibility andimagination3. a person whose profession requires artistic expertise, esp a designer ⇒ a commercial artist4. a person skilled in some task or occupation ⇒ an artist at bricklaying5. obsolete an artisan6. slang a person devoted to or proficient in something ⇒ a booze artist, ⇒ a con artist
 
Hahaaaahaaaaaaaaa watu kwa facts Mmmmh
 
Jamaa ana sura ya kilevi sana, inaelekea hapati usingizi bila kupiga tarumbeta.
 
Huyu kazi yake ni kuwatafutia madanga kina wema sepetu ili ajipatie walau bia za bure.

Wewe unamjua vizuri... ndio kazi kubwa afanyayo. Hajawahi kumpatia Nyerere, alikua anaganga njaa tu, kazi ya ukuhadi naona ndio anaiweza vizuri. aachane na kuiga sauti za wana siasa maana hawezi.
 
Definitions
Collins English Dictionary
noun1. a person who practises or is skilled in an art, esp painting, drawing, or sculpture2. a person who displays in his work qualities required in art, such as sensibility andimagination3. a person whose profession requires artistic expertise, esp a designer ⇒ a commercial artist4. a person skilled in some task or occupation ⇒ an artist at bricklaying5. obsolete an artisan6. slang a person devoted to or proficient in something ⇒ a booze artist, ⇒ a con artist
Asanteeee
 
Back
Top Bottom