Hivi Steve Nyerere bado tunamuita Msanii?

Kuna huyu bwana mdogo anaitwa Steve Mangere, siku za nyuma tulizoea kumwona katika majukwaa akimwigiza sauti hayati Baba wa Taifa, kutokana na hilo akaanza kujiita Steve 'Nyerere', hivi siku hizi anafanya nini, hivi na yeye bado tunamwita msanii?

Huyu jamaa toka azimwe na wasanii wachanga wa kuigiza sauti, siku hizi hayupo kabisa kwenye Game badala yake amebaki kudandia dandia vitu tu hata asivyovijua hasa kwenye suala la Siasa za kutetea kile Chama cha Mapinduzi, mara leo Kampeni, mara kageuka msemaji wa wasanii juu ya UKUTA, yaani UKUTA uliowashinda akina Kinana yeye ndo atauweza?!

Alijaribu kuingia kwenye Maigizo mpaka wakampa na cheo cha Rais wa Bongo Movie lakini bado na kwenyewe kachemka, tuna haja gani ya kuendelea kumtambua kama Msanii?? Na toka wamnyime Ukuu wa Wilaya naona kama kavurugwa zaidi, au nyie mnamwelewa? Usanii umemshinda, Siasa haiwezi, apumzike tu Nyumbani, wakati mwingine hata kukaa kimya nayo ni Busara

maxresdefault.jpg

Usanii una heshima gani duniani? Ustaa kuvuta bangi, wa kukaa uchi and the like
 
Ubuyu ndio nini maana mi najua ubuyu ni mwanamke mwenye makalio makubwa sasa nikisoma comments za ubuyu na shindwa kuelewa[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
 
Huyu jamaa kakomaa sura hadi maini.

-Kibaraka wa Chama Cha Mafisadi

-Mtwana wa wasanii wa bongo movie

Huyu ndio huwa anatumwa Vocha, sigara, wine, ndom na kuwatengezezea wadada nguo zao zikikaa vibaya.
 
Kuna huyu bwana mdogo anaitwa Steve Mangere, siku za nyuma tulizoea kumwona katika majukwaa akimwigiza sauti hayati Baba wa Taifa, kutokana na hilo akaanza kujiita Steve 'Nyerere', hivi siku hizi anafanya nini, hivi na yeye bado tunamwita msanii?

Huyu jamaa toka azimwe na wasanii wachanga wa kuigiza sauti, siku hizi hayupo kabisa kwenye Game badala yake amebaki kudandia dandia vitu tu hata asivyovijua hasa kwenye suala la Siasa za kutetea kile Chama cha Mapinduzi, mara leo Kampeni, mara kageuka msemaji wa wasanii juu ya UKUTA, yaani UKUTA uliowashinda akina Kinana yeye ndo atauweza?!

Alijaribu kuingia kwenye Maigizo mpaka wakampa na cheo cha Rais wa Bongo Movie lakini bado na kwenyewe kachemka, tuna haja gani ya kuendelea kumtambua kama Msanii?? Na toka wamnyime Ukuu wa Wilaya naona kama kavurugwa zaidi, au nyie mnamwelewa? Usanii umemshinda, Siasa haiwezi, apumzike tu Nyumbani, wakati mwingine hata kukaa kimya nayo ni Busara

maxresdefault.jpg
Laana ya Watz. inamtafuna kuwa upande wa haramu
 
- Kwanza ulianza vizuri sana kwamba hujui yeye ni nani, and then ukaanza kuonyesha unajua ni nani sasa mbona unajitekenya mwenyewe na kujichekesha? Sisi tuchhangie nini hapa?

le Mutuz
 
nimekuona leo JamboLeo mkuu
 
hichi kijamaa nakionaga kama kichoko. hivi hakifukunyuliwi kwel?
 
Back
Top Bottom