Hivi Sugu alipata wapi mwanamke wa namna hii?

Yaan huyu dude ya sugu imemkaa kichwani loooo,Mungu niepushie kupenda hivyoo bora nijipende mie tu
Haka katakua kavuta bangi

hivi kaka na mama yake wanajisikiaje!!!! kujichetua gani huku jamani?
 
Watu wengine hawapaswi ishi dunia hii
 
Ndio maana ana stress, ibada hafanyi, ngono hafanyi.....achague moja.
 
Ndio maana ana stress, ibada hafanyi, ngono hafanyi.....achague moja.

haa haa haaa atakuwa amechagua ngono sa anatafuta dushe kwa nguvu. jamani madushe yamekuwa adimu siku hiziiii
 
haa haa haaa atakuwa amechagua ngono sa anatafuta dushe kwa nguvu. jamani madushe yamekuwa adimu siku hiziiii

Du, madushe yamekua adimu kiasi iki? Safi sana uzinzi unapungua.
 
Mwaka mmoja sio mwingi,mie nilijua hajafanya kwa miaka mitano....Lakini mkumbuke sugu alikutana naye Facebook so hauwezi jua labda yupo katika kutafuta mwingine baada ya kuachana na sugu.....
 
Anajitia kujitoa ufahamu??!!
Au ndo uhuru wa social media

Upuuz tu
 
Chizi huyu. Si alivaa pampaz cku ya birthday yake!? Nae sugu alimtoa wapi changu huyu!?
 
Kwa sasa anaitwa Faiza Ally wala siyo Mrs. Mbilinyi. Katika hili nafikiri si vyema hata kidogo kumuhusisha Mheshimiwa Joseph Mbilinyi katika kadhia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…