Hivi Sugu alipata wapi mwanamke wa namna hii?

Hivi Sugu alipata wapi mwanamke wa namna hii?

Ndio maana ana stress, ibada hafanyi, ngono hafanyi.....achague moja.
 
Ndio maana ana stress, ibada hafanyi, ngono hafanyi.....achague moja.

haa haa haaa atakuwa amechagua ngono sa anatafuta dushe kwa nguvu. jamani madushe yamekuwa adimu siku hiziiii
 
safe_image.php

Sugu hana jinsi ndiyo hvyo tena!
 
haa haa haaa atakuwa amechagua ngono sa anatafuta dushe kwa nguvu. jamani madushe yamekuwa adimu siku hiziiii

Du, madushe yamekua adimu kiasi iki? Safi sana uzinzi unapungua.
 
Mwaka mmoja sio mwingi,mie nilijua hajafanya kwa miaka mitano....Lakini mkumbuke sugu alikutana naye Facebook so hauwezi jua labda yupo katika kutafuta mwingine baada ya kuachana na sugu.....
 
Anajitia kujitoa ufahamu??!!
Au ndo uhuru wa social media

Upuuz tu
 
Chizi huyu. Si alivaa pampaz cku ya birthday yake!? Nae sugu alimtoa wapi changu huyu!?
 
Kwa sasa anaitwa Faiza Ally wala siyo Mrs. Mbilinyi. Katika hili nafikiri si vyema hata kidogo kumuhusisha Mheshimiwa Joseph Mbilinyi katika kadhia hii.
 
Back
Top Bottom