Hivi Sugu alipata wapi mwanamke wa namna hii?

Hivi Sugu alipata wapi mwanamke wa namna hii?

Wewe ndio Kiazi.

Soma hiyo heading inasemaje! Hakuna namna unaweza kutomhusisha huyo SUGU hapa!

Wewe uccm ndio unakusumbua, waliishaachana siku nyingi tu, sasa haya anayoyafanya mitandaoni yanahusiana nini na Mh.Mbunge?
 
Anazingua kaya huyu duuh. Ukute katoka kuukalia jana yake tu. Anaandika apate publicity ila anachemka coz anatumia nguvu nyingi sana kupata publicity na akili ndogo.
 
sugu alishasema hataki mwanamke an ayef irana. Sa ye bado anajipeleka, sugu hatak hyo used line 0712
 
Moto umewaka tena Instagram
 

Attachments

  • 1427799531778.jpg
    1427799531778.jpg
    71.2 KB · Views: 293
  • 1427799565901.jpg
    1427799565901.jpg
    70.4 KB · Views: 278
serengeti boys tuingie kazini tafwadhali, one of our clients anahitaji huduma.. the best she can get
 
Back
Top Bottom