Hivi Suma G uko wapi?

Mmmh ya kweli haya?
Ya kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha
 
B
Du mzee mwenzangu naweza kupata wapi album yao ya wosia?maana nilikuwa wosia kweli ya ni dhahabu mkuu, zamani kulikuwa na vichwa kweli kweli
nilishawahi kwenda mpaka kwa mamu store kuulizia eti na yeye album za zamani hana ila wosia baadhi ya nyimbo ninazo ngoja nikitulia nitaziweka apa
 
Ya kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha
Hapana john mjema na ocg ni watu wawili tofauti kabsa mjema ndio alifariki R.I.P
 
Ya kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha
Ok nimekumbuka John mjema ndio alijiua, ila sio hiyo alieimba akwelina
 
B

nilishawahi kwenda mpaka kwa mamu store kuulizia eti na yeye album za zamani hana ila wosia baadhi ya nyimbo ninazo ngoja nikitulia nitaziweka apa
Mkuu ntashukuru sana kwa hilo, maana nimezisaka bila mafanikio
 
Ukimpata nitafutie pia

Jose mtambo wa kigambonino
Mnyalu
Caz T
Wale wanyama wa BDP (big dog pond)
Dula soul
Na wanyamakwinqwi wengine wa jamii ya hao niliowataja
1.Jose Mtambo yupo bado analazimisha unyamwezi ila umemshinda
2. Mnyalu yupo yupo tuu haeleweki
3. BDP wapo wanakula Bangee tu
4. Dola Soul yupo unyamwezini kwa Trump na kimaisha yupo fresh sanaa tuu
 
Ukimpata nitafutie pia

Jose mtambo wa kigambonino
Mnyalu
Caz T
Wale wanyama wa BDP (big dog pond)
Dula soul
Na wanyamakwinqwi wengine wa jamii ya hao niliowataja
Wale wanyama wa BDP (big dog pond)-Big DOG Pose
Dula soul-dolla soul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…