Hivi Suma G uko wapi?

Hivi Suma G uko wapi?

rah p yuko houston texas na watoto wawili bahati mbaya mume wake yuko jela
hqdefault.jpg
huyu dem ana sura ya kiume kumbe!!..rangi ilikua inanichanganya
 
Mwambieni Saigoni aandae kipindi E -fm cha hiphop au tumpe na jina kipindi kbsaa.....basi akiite strictly hiphop...from there Majizo awe anaandaa matamasha yearly ya hiphop atakuwa pioneer and will get him some money sijui yu wapi huyu jamaaa....ebwana dah ...
 
Wanasema jamaa kawa shekhe
 
B

nilishawahi kwenda mpaka kwa mamu store kuulizia eti na yeye album za zamani hana ila wosia baadhi ya nyimbo ninazo ngoja nikitulia nitaziweka apa
aiseee huyo mamu shoga kweli unakosaje album za hawa wasanii wetu wa kitambo
 
aiseee huyo mamu shoga kweli unakosaje album za hawa wasanii wetu wa kitambo
Hana hata moja anaboa mbaya mwana fa nishawahi kumuuliza twitter kuwa album yake ya unanitega ntaipata wapi akasema kwa mamu nikaenda zangu mpaka kariakoo kufika anadai hana amejaza ma bongo movie tu na album za vijana za juzi juzi
 
Wee jamaa wa kitambo sana wosia ilikuwa na nyimbo kumi kama wosia, bahati ya mwenzio,rudi mpenzi,manjumati,kitambo kidogo,
Jamaa walikuwa wanajua wakaja toa album yao ya pili BDP kamili na nyimbo kama majobless, kumwimbia,kichwa cha chief,maimuna ama kweli ya kale dhahabu
Drezzy chief nasikia yupo mbeya anauza mitumba tu huku cronic akiwa dar computer sijui yupo wapi
Computer yupo km miezi miwili iliyopita alifiwa na baba ake
Yupo kimara
 
Back
Top Bottom