Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Umechanganya mafaili kaka.....Ya kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha