Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihishaMmmh ya kweli haya?
nilishawahi kwenda mpaka kwa mamu store kuulizia eti na yeye album za zamani hana ila wosia baadhi ya nyimbo ninazo ngoja nikitulia nitaziweka apaDu mzee mwenzangu naweza kupata wapi album yao ya wosia?maana nilikuwa wosia kweli ya ni dhahabu mkuu, zamani kulikuwa na vichwa kweli kweli
Hapana john mjema na ocg ni watu wawili tofauti kabsa mjema ndio alifariki R.I.PYa kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha
Asante sana kwel nilijichanganya vibaya sana nimekumbukaHapana john mjema na ocg ni watu wawili tofauti kabsa mjema ndio alifariki R.I.P
Ok nimekumbuka John mjema ndio alijiua, ila sio hiyo alieimba akwelinaYa kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha
Mauza uza aah, mauza uza mambo zigi zaga, shaghalabaghala...Solidy ground family
NILIMSIKIA SIKU MOJA AKIWA NA SUMA LEE PAMOJA NA KALI P(IMEKAA VIBAYA) WAMEMRUDIA MUNGU KWA HIYO HAWATAKI HATA NGOMA ZAO ZIWE ZINAPIGWASaigon na balozi wapi jamani???kitambo sana
1.Jose Mtambo yupo bado analazimisha unyamwezi ila umemshindaUkimpata nitafutie pia
Jose mtambo wa kigambonino
Mnyalu
Caz T
Wale wanyama wa BDP (big dog pond)
Dula soul
Na wanyamakwinqwi wengine wa jamii ya hao niliowataja
Saigon bonge la Ustaadh siku hizi.NILIMSIKIA SIKU MOJA AKIWA NA SUMA LEE PAMOJA NA KALI P(IMEKAA VIBAYA) WAMEMRUDIA MUNGU KWA HIYO HAWATAKI HATA NGOMA ZAO ZIWE ZINAPIGWA
Wale wanyama wa BDP (big dog pond)-Big DOG PoseUkimpata nitafutie pia
Jose mtambo wa kigambonino
Mnyalu
Caz T
Wale wanyama wa BDP (big dog pond)
Dula soul
Na wanyamakwinqwi wengine wa jamii ya hao niliowataja
Ngutuwe mweusiNini mnataka mazeee, nini mnatakaaaa
Hapa ni shwaaari