Hivi Sungura anataga Mayai au Anazaa? Nimeulizwa na binti aliyetoka kufanya Usaili wa ualimu hivi karibuni

Hivi Sungura anataga Mayai au Anazaa? Nimeulizwa na binti aliyetoka kufanya Usaili wa ualimu hivi karibuni

Ni sawa mkuu,watoto wengi wa 2000 hakuna wanachokifahamu chini ya jua zaidi ya udaku kwenye mitandao,kufuatilia habari za mondi na hamisa ndio role models wao,wakifika kazini wanataka kuvaa jeans na nguo za kubana.zaidi ya hayo wanafahamu sana kwenda kwa mpalange na kutoa mimba kwenye majumba ya watu.kwa kifupi kama una Binti kazaliwa 2000s yupo nyumbani kwako tegemea atamleta babe kwenye makazi yako na watakuwa wanagegedana humo
 
Changamoto sana
 
Nilishakutana na vituko kàma hivi toka mwalimu graduate, nilishangaa sana. Ikabidi niulize rafiki zake kama ni kweli ana degree ya ualimu.
Kuna majanga ya kutisha kwenye mfumo wa elimu nchini.
Shida kubwa sana. Na hii ni wazi kuwa wengi wanakalili hawaelewi kwahiyo kama sungura hakuwahi ambiwa kuwa anazaa basi hajiongezi kuwa ni mnyama huyu na lazima azae anabaki na alivyokalilishwa tu kichwani mwake
 
Hukuwa na sababu ya kuandika hayo yote. Nyie mngemjibu tu kuwa "Sungura anazaa".
Kutokujua hilo haimanisi hana elimu na kwamba hafai kuwa mwalimu.
Yapo mambo mengi sana watu hawayajui ila siju ikiwapasa kuyajua huyajua kuanzia hapo na wanaweza hata kuwaelekeza wengine.
Hivi kwa level ya ualimu kabisa vitu kama hivyo usijue? Je huyu akiulizwa na mwanafunzi swali hilo atamjibuje?

Haja ipo sana ya kuandika na kuona madudu ya Elimu yetu wewe kama unaona hakuna haja ni vyema ni mtazamo wako.
 
Back
Top Bottom