Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Naona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mentality za kimaskini.Maskini akipata matrokooo hulia pwaaaaaNaona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?View attachment 2771898
haya wahi riverside ukauzeTafuta hela ili uache makasiriko kwa wenzio
Kuna sehemu nimepanga we mwanamke? Walimu wako walipata sana shida huko shuleniusimpangie mtu cha kufanya na hela zake, hujui kazipataje ....ila kwa upande wangu mimi siwezi kufanya hivyo,,, kwanza sina hata za vocha asa sijui za kupigia picha natoa wapi😃😃🤔🤔
Ni ushambaNaona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?View attachment 2771898
NAKAZIA 🔨Tafuta hela ila usipige nazo picha, maisha yanabadilika
Kwanini mkuu 🤠🤠Kuna sehemu nimepanga we mwanamke? Walimu wako walipata sana shida huko shuleni