Hivi tabia ya kupiga picha na hela, ni ujanja au ushamba?

Hivi tabia ya kupiga picha na hela, ni ujanja au ushamba?

Kama ndio hivyo, Utakuja kufungwa tu sababu siku moja utasema uchomoe kidogo

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Huwaga najikopa kiasi ambacho najua hata nikikurupushwa nikabidhi hela muda wowote najua chap ntaiziba kutoka vyanzo vyangu vingine vya mapato, so naziheshimu na naziogopa, make kukutia aibu ni suala la dakika mbili Tu.
 
Siku hizi wanachonga vimbao,wanabandika ten juu na chini.Role model wao kaumbuka huko tiktok
 
Naona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?View attachment 2771898
Ukiona MTU anatumia nguvu Nyingi, kuiaminisha dunia yupo vzr, kifedha, ujue huyo ana msongo wa mawazo,na Hana ka kitu, ni choka mbaya, anafanya hayo kujipa aueni ya fedha,
Ukifika pale Tigo,makao makuu, wale staff walioajiliwa na Tigo kama Tigo, au huawei, hawanaga swaga Nyingi, wengi ni humble Sana, wanamkwanja mrefu, hawana haja ya kupiga makelele kila MTU ajue,utajua tu kwa yanayoendelea kwenye maisha Yao,
Sasa omba ukutane na wale freelancers wauza vocha, kwanza swaga Nyingi, na kutumia nguvu Nyingi, watu wajue kuwa wao ni wafanyakazi wa Tigo, au wale wadada wa call centre ukikuta wamepiga T-shirt zao za Tigo, wana mbwembwe Sana, ukimuuliza, anasema ni mfanya kazi wa Tigo, kumbe ni wakandarasi, tu wanapokea 400K gross!
Kwenye pesa hqkuna kelele, wenye hela hawana kelele, Umeishawahi kuona V8 cruzer imepasuliwa exhaust inapiga kelele kama vi arteza, au Subaru?!
Kwa wenye pesa no kelele, cheki Masaki, upanga dar, area d, Kisasa Dodoma, au, shangani mtwara, sasa nenda Chaduru, au Tandale, kila Kona ni makelele.
 
Masikini akipata hujaribu kufanya vitu vyote alivyokua akiviota akiwa katika msoto
 
Back
Top Bottom