Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #21
Afadhali, naona tajiri kaanza matusiAnaitwa @Intelligent businessman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali, naona tajiri kaanza matusiAnaitwa @Intelligent businessman
Bill Lugano hebu badilisha hiyo sister, mi ni men bhanaNipo sister. Sema mwanzo wa mwaka ratiba zangu zilikuwa tight. Nlisafiri na wafanyakazi wangu wote tukapumzike visiwa vya Bahama kwa utulivu mkubwa bila kuwasiliana na watu wengine dunia hii. Tumerudi salama
Kaolewa na sugar mumySalaam wakuu,kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano.
Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao.
Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote nadhani hata Kaka Bujibuji Simba Nyamaume, anafahamu hili.
👉Ni msomi aliyepata nafasi ya kupata elimu yake kutoka katika vyuo 2 bora kabisa duniani ambayo ni Oxford na Harvard.
Tena hana dharau kwa jamii yake inayomzunguka, sio kama Lord lofa mpwayungu village. Ambaye huwa anatukana walimu wake waliomkuza.
Nasikitika nasikitika kusema kuwa nimeshangazwa na ukimya wa tajiri yetu Bill Lugano, ambaye hana utaratibu wa kukaa kimya bila kuongea na sisi wadau wake.
Uko wapi tajiri ??, tunakuomba sema kitu boss, baadhi ya vitu vilivyonipa wasiwasi ni 👉hajibu email tunazomtumia
👉 Secretary wake hajulikani alipo
👉Inasemekana amebadilisha uraia ??, Ili asisumbuliwe na tra.
👉 Inasemekana amechoshwa na chuki na hoja potofu za baadhi ya watanzania dhidi ya matajiri.
Nakumbuka mara ya mwisho alitutaarifu kuwa ataenda mapumzikoni katika kisiwa Cha malbera, lakini toka mwaka jana hatujasikia lolote Tena kutoka kwake.
hata jasusi GENTAMYCINE, amethibitisha kuwa tajiri Bill Lugano, ni Kama mzuka kwa sasa. Kwani hakuna mwenye taarifa zake.
Tunakuomba tajiri Bill Lugano, urudi boss wetu, kwa maana jamii yetu ya majobless wa kimataifa inahitaji uwepo wa matajiri Kama wewe.
Za ndani Inasemekana 👉Mashirika ya ujasusi duniani Kama M16,mossad, na CIA wameahidi kusaidia kumpata.
We are humble waiting for you bilionea Bill Lugano 🙏🙏🙏
Kweli tenaIla wewe😂😂, kaonee
Ila amerudi tayariKweli tena
Bill Lugano hebu badilisha hiyo sister, mi ni men bhana
Nisamehe Mimi kwa kukufokea bosi Kama wewe Bill LuganoNisamehe bure. Alikuwa ananiandikia secretary wangu ndo alishika simu ndo naona hapa. Aisee nimemwambia aandike barua ya kukuomba msamaha. Na yeye pia ajieleze anaanzaje kufanya makosa kama hayo.
Mnashindana kuombana msamaha au samahani?Nisamehe Mimi kwa kukufokea bosi Kama wewe Bill Lugano
Who the hell are you??, Usijaribu kumdiss bossMnashindana kuombana msamaha au samahani?
Boss wako ni kibaka tu.😂😂😂😂Who the hell are you??, Usijaribu kumdiss boss
Au umemfuga wewe.?Kweli tena
Shida mna chuki kwa matajiriiiBoss wako ni kibaka tu.😂😂😂😂
Agawe hela.Aache uhuni.Shida mna chuki kwa matajiriii
Haya sawaIla amerudi tayari
Au umemfuga wewe.?
Au na wewe una msukule geto, Kama master umughakaMhh mim huyu hapana hyo tabia sina na pesa ya kulea mbaba Sina.
Nishamtoa msukule Chizi Maarifa ndo mana unaona ako kimyaAu na wewe una msukule geto, Kama master umughaka
Ila wewe, mwanza panakuchanganyaNishamtoa msukule Chizi Maarifa ndo mana unaona ako kimya