Hivi Tajiri Bill Lugano, yuko wapi?

Hivi Tajiri Bill Lugano, yuko wapi?

Tajiri is back ,tupe andiko tuwe inspired ,kuna Uzi wako wa magari kila nikiona gari kama range rover ,fordranger najua bill lugano atakuwa yeye anaenda au kutoka kwenye mashamba yake kuangalia vijana kama wanaendelea na kazi ,na nikikuta gari Kali imepaki sehemu najuaga ni yeye yuko hapo

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Bill Lugano, tajiri soma hii
 
Nina Range la Mwaka 2022 kwa sasa. Jipya kabisa. Ila nimeona watu wanarushiana picha kwenye mitandao...sijaelewa kwa nini. Karibu sana Oysterbay. Weekend flani njoo upumzike
 
Back
Top Bottom