Salaam wakuu,kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri
Bill Lugano.
Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao.
Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote nadhani hata Kaka
Bujibuji Simba Nyamaume, anafahamu hili.
πNi msomi aliyepata nafasi ya kupata elimu yake kutoka katika vyuo 2 bora kabisa duniani ambayo ni Oxford na Harvard.
Tena hana dharau kwa jamii yake inayomzunguka, sio kama Lord lofa
mpwayungu village. Ambaye huwa anatukana walimu wake waliomkuza.
Nasikitika nasikitika kusema kuwa nimeshangazwa na ukimya wa tajiri yetu
Bill Lugano, ambaye hana utaratibu wa kukaa kimya bila kuongea na sisi wadau wake.
Uko wapi tajiri ??, tunakuomba sema kitu boss, baadhi ya vitu vilivyonipa wasiwasi ni πhajibu email tunazomtumia
π Secretary wake hajulikani alipo
πInasemekana amebadilisha uraia ??, Ili asisumbuliwe na tra.
π Inasemekana amechoshwa na chuki na hoja potofu za baadhi ya watanzania dhidi ya matajiri.
Nakumbuka mara ya mwisho alitutaarifu kuwa ataenda mapumzikoni katika kisiwa Cha malbera, lakini toka mwaka jana hatujasikia lolote Tena kutoka kwake.
hata jasusi
GENTAMYCINE, amethibitisha kuwa tajiri
Bill Lugano, ni Kama mzuka kwa sasa. Kwani hakuna mwenye taarifa zake.
Tunakuomba tajiri
Bill Lugano, urudi boss wetu, kwa maana jamii yetu ya majobless wa kimataifa inahitaji uwepo wa matajiri Kama wewe.
Za ndani Inasemekana πMashirika ya ujasusi duniani Kama M16,mossad, na CIA wameahidi kusaidia kumpata.
We are humble waiting for you bilionea
Bill Lugano πππ