Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Vingamuzi vina line za simu?
Vinacomunicate na server kwa njia ya satelitte na vina Identit module. huoni ile kadi yake ina chip? kama sim/ atm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vingamuzi vina line za simu?
Mi naona hamna sababu ya kuunda app, wanachotakiwa kufanya ni kuwezesha ukinunua umeme iwe kwa simu, banki au wakala, umeme wako uingie moja kwa moja kwenye mita yako na siyo kwenda kubinya binya unaingiza namba za luku kwenye mita
Yani unataka waya wa power ubebe signal?? signal gani inayoweza safiri abt 2Kms??
Af iyo signal inaenda wapi?? maana source ya wire ni kwenye transformer ya LV. af signal ikifika pale nn kinafuata??
Simply unachosema ni kigumu sana. current kuna mita za EDMI ambazo zinatumia simcard ila sio LUKU ni postpaid Mita inarecord uses na kutuma taarifa kwenye kwenye serves so hakuna haja ya meter readers. So ni suala la kuweka relays ambazo zitakuwa zinapokea command kwa njia ya GSM/ GPRS kuwasha na kuzima
Japo sio njia poa italeta usumbufu. just imagine kuwa na servers za kuhandle two way communication kwa mita zoto TZ
Simply ni ngumu
Ofcourse kila kile ambacho watanzania hatukijui huwa tunasema ni kigumu sana. But wenzetu nje wanafanya sana tu. Both wired and wireless zinawezekana kabisa.
Skuizi hadi kuna simu mawasiliano yanapitia kwenye waya hizo hizo za umeme (Jose Soares Augusto's answer to Can communication signal be transmitted through a power cable? - Quora).
Cha msingi ni kuwa na kifaa cha kumodulate kwenye transformer tu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nilitaka nimjibu hili ndugu Hazchem plate naona umeshamjibu. Wala hata sio nchi zilizoendelea tu
Hata ndani ya Tanesco kwa mawasiliano ya ndani kwa ndani kuna simu za TTCL na pia kuna simu ambazo wanzitumia zinatumia waya zao hizo hizo za umeme kuwasiliana kati ya Sub Station na Sub Station.
Siku nyingine sana nadhani 2004/2005 nilikua na team ya kutoka South Africa walikua wanafunga huo mfumo
Sijui details sana ila najua tuliukamilisha na unafanya kazi(Mie nilikua Kibarua tu)
Nilitamani hii app ya TANESCO iwe na informations nyingi sana ikiwemo angalau kuangalia salio la umeme uliobaki kwenye meter ya luku, au niweze kuingiza umeme kwenye meter ya luku kwa kupitia hii app.
Sijui kwakweli kwasasahivi ila tulionganisha sehemu nyingi sana kuanzia Pwani, Kati, Kaskazini na Kanda ya Ziwa. Maeneo ya Kusini na Kigoma sikwenda kwakweliHaya mambo huwa yanaishia kujaribiwa na sio implementation
Itapendeza sana yaani iwe kama tunavyolipia dstv au statimes na ving'uzi vingineUnunue na kuingiza kupitia simu, hutu tududu twao twa kuingizia umeme huwa tunanikera sana. Inawezekana?
Sijui kwakweli kwasasahivi ila tulionganisha sehemu nyingi sana kuanzia Pwani, Kati, Kaskazini na Kanda ya Ziwa. Maeneo ya Kusini na Kigoma sikwenda kwakweli
Wavivu tuUnunue na kuingiza kupitia simu, hutu tududu twao twa kuingizia umeme huwa tunanikera sana. Inawezekana?
Wewe sasa kumbe hujaelewa. Huwezi safirisha signal kutoka Arusha to Dar kwa national grid. Wired inatumika kutokea kituo kikuu cha tanesco cha eneo husika mfano tanesco mbagala kwenda kwa wateja. Then tanesco mbagala ina exhange data na main office through wireless. Hivi ndivyo ifanyavyo kazi baadhi ya miji mikubwa duniani. Tena wao wameenda mbali zaidi kuwa anaefanya hizi mambo ni kampuni binafsi amepewa tender ya mkataba wa muda mrefu.Ko signal zinasafiri kupitia national Grid? kazi sana yani. Naendelea kujifunza
Yes ilikua ni infrastructure inaunganishwa kwenye National Grid na tulikua tunapiga simu sehemu yoyote tukitaka(mafundi) ila kwa Tanesco wenyewe ilikua limited ndani ya Ofisi tu ndo zinawasilianaKo signal zinasafiri kupitia national Grid? kazi sana yani. Naendelea kujifunza
Inawezekana kutumia National Grid mkuu.Wewe sasa kumbe hujaelewa. Huwezi safirisha signal kutoka Arusha to Dar kwa national grid. Wired inatumika kutokea kituo kikuu cha tanesco cha eneo husika mfano tanesco mbagala kwenda kwa wateja. Then tanesco mbagala ina exhange data na main office through wireless. Hivi ndivyo ifanyavyo kazi baadhi ya miji mikubwa duniani. Tena wao wameenda mbali zaidi kuwa anaefanya hizi mambo ni kampuni binafsi amepewa tender ya mkataba wa muda mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia ww kwa sisi watu wa code io sio kaz rahis labda itengenezwe app ya kununua umeme lkn sio kuingiza umeme na ata ko ya kununua umeme lazima maengineer wa tanesco wahusike bila hao mtu wa kawaida hawezUnunue na kuingiza kupitia simu, hutu tududu twao twa kuingizia umeme huwa tunanikera sana. Inawezekana?
Kama kale kadude kanaweza wasiliana na mita simu ishindwe vipi?Sikia ww kwa sisi watu wa code io sio kaz rahis labda itengenezwe app ya kununua umeme lkn sio kuingiza umeme na ata ko ya kununua umeme lazima maengineer wa tanesco wahusike bila hao mtu wa kawaida hawez
Ni mambo ya technologia kwa lugha ya kibantu huwex nielewa in short ipo hv technologia ya mawasiliano ya mita ya umeme haipo kwenye cmu ni sawa uchukue total station kisha uanze kuforce icommunicate na simu utakeshaKama kale kadude kanaweza wasiliana na mita simu ishindwe vipi?
Kwa kuwezekana inawzekana lakini cha kwanza warudie upya kuangalia aina ya meter zao kma ni rafiki kuweza kufanya hiyo intergration kuangalia uwezo wa connectivity kutoka kwenye meter zao na hiyo app itakayotengenezwa mara nyingi machine language zinatabia yakubehave tofauti kutokana nakua na sdk tofauti tofauti kwa concept ya swali lako kiuhalisia linawezekana kwakua programmers hua ni watu wakutokubali kushindwa kirahisi na hili wazo aliwahi kulizungumzia mshkaj wangu mmoja alipokua amenunua umeme lakin cha ajabu ilimlazimu ashuke kutoka gorofa ya tano mpka chini kwaajili yakuingiza namba na kutokana na uvivu ikambidi afikirie wazo hilo me nadhani kma kutakua na big fish mwenye kuona fursa hiyo anaweza kujiongezaUnunue na kuingiza kupitia simu, hutu tududu twao twa kuingizia umeme huwa tunanikera sana. Inawezekana?