Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,468
- 32,167
Yani siku hizi umeme hautabiliki huku Bunju, ikipita siku haujakatika basi ni ajabu. Wataka asubuhi warudishe saa 8 au 11, au watakata saa tano warudishe saa 10. Hii Tanzania ya Viwanda itapatikana kwa umeme wa namna hii?
Miezi kadhaa nyuma mlikuwa mkikata umeme mkiulizwa mnasema eti mnabadilisha miundombinu, mpaka sasa hamjamaliza au story bado ni ile ile?
Mnakera, watu wana mafriji ya samaki mnataka waoze, watu wa stationery na vifaa vinahitaji umeme ili wafanye kazi nyie mnakata tu.
Mnakera sana TANESCO