Hivi Tanganyika ndo imekuwa mikononi mwa wananchi, inakuwaje kwa hawa.?

Hivi Tanganyika ndo imekuwa mikononi mwa wananchi, inakuwaje kwa hawa.?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nawaza mbeleni kwanza tu.

Nikiwatazama Wakuu wa mikoa, RPC, IGP, DGI, Mahakimu, watoto wa wakubwa, wabunge, machawa, wasani wao, Account zinazoshangilia n.k.

Kuna kitu kinaitwa kihoro kitaondoka na wengi.
 
Nitaomba jukumu la kukata vichwa tu na ninaimani nitalitekeleza kwa usahihi kabisa.
Kama una ujuzi wa kikata vichwa basi anza sasa kushughulika na hao wezi.

Tofauti na hapo, baada ya hili genge kufurushwa.utarejea utawala wa sheria na haki ambapo kila mtu atawajibika/wajibishwa kwa HAKI kwa mujibu wa hizo sheria na sio vinginevyo.
 
Sawa ndugu, sasa mimi kutoka na marungu na panga, manyambisi wapo na bunduki unafikiri nitatimiza lengo langu kweli, ningepata angalau SMG 1 na risas buku ingekuwa powa kidogo.
 
Back
Top Bottom