Kama una ujuzi wa kikata vichwa basi anza sasa kushughulika na hao wezi.
Tofauti na hapo, baada ya hili genge kufurushwa.utarejea utawala wa sheria na haki ambapo kila mtu atawajibika/wajibishwa kwa HAKI kwa mujibu wa hizo sheria na sio vinginevyo.

Sawa ndugu, sasa mimi kutoka na marungu na panga, manyambisi wapo na bunduki unafikiri nitatimiza lengo langu kweli, ningepata angalau SMG 1 na risas buku ingekuwa powa kidogo.