Mwenda aliwapa ATCL ile Fokker ya zamani lkn Gulf stream iliyonunuliwa wakati wa Mkapa bado ipo na inatumiwa kwa matumizi ya ofisi ya Rais.The late mwendazake made the presidential jet part of ATCL and started using the commercial ATCL Airbus plane for his own and so like her predecessor Samia does not and hasn't yet thought outside the box otherwise
Kuna Fokker na Gulf Stream zote ni za Rais, sijui majaliwa alitumia ipi kati ya hizo?Juzi kati niliona makamu wa rais ikiitumia,nadhani hata majaliwa chato alienda nayo hiyo last week
Mbona chuma kiko poa kabisa hicho.1. 5H-ONE ( Gulfstream)
View attachment 1775402
View attachment 1775403
2. Fokker
View attachment 1775405
View attachment 1775406
Hili lenu waga wanalifunga mpaka na makomeo with at least 10 heavyweight manpower some must be militiamen [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 1775683
Ipo Gulfstream. Hii Airbus wanatumia kukiwa na ujumbe mkubwa(watu wengi).Kila mara namuona Mama Samia akitumia ndege ya Air Tanzania kuzulu, tuseme hivi Tanzania hamna presidential plane ama vipi?
Hivi hiyo delegation ya akina Rostam aliyokuja nayo Rais Samia ilikuwa ya Kula pesa za serikali?Delegation kubwa kwa nchi zetu za kiafrika ni njia tuu za kula pesa za serikali.
Kaua Watanzania gani hao?Sema poleni watanzania maana kaua wengi sana ,fikiria bensaanane angekuwa mwanao wa kumzaa unge tamka tusimchukie marehemu ,kafilisi watu huyu sana
π π π π Huo ushahidi aliuweka wapi? Kwanza hujanijuza kama alikua mwanamama au mzee?Weee alipotea siku 2 baada ya kuja na ushahidi konki kuwa magu hana phd na alilalamika wiki kabla kuwa wasiojulikana waliopotea baada kufilia mbali mbwa.unataka nikuletee ushahid wa phd fake?alikuwa anamjua hadi mulaga ndo asimjue chuma bensaanane mungu afariji familia yake
See this another ignorant emotional incompetent fool, which presidential jet you are referring here. ?The late mwendazake made the presidential jet part of ATCL and started using the commercial ATCL Airbus plane for his own and so like her predecessor Samia does not and hasn't yet thought outside the box otherwise
Okay pole, kwaiyo tukusaidiaje?Weee alipotea siku 2 baada ya kuja na ushahidi konki kuwa magu hana phd na alilalamika wiki kabla kuwa wasiojulikana waliopotea baada kufilia mbali mbwa.unataka nikuletee ushahid wa phd fake?alikuwa anamjua hadi mulaga ndo asimjue chuma bensaanane mungu afariji familia yake
Hio imeshachakaa, tunamnunulia Mpia ya kisasa na salama zaidi.Kuna ndege alinunua marehemu Mkapa (RIP) wakati huo Mramba akiwa waziri wa fedha,mzee Mramba alitoa kauli tata eti (watanzania watakula majani lakini ndege ya rais itanunuliwa). Mpaka JK alikuwa anaitumia. Humu kwenye awamu ya 5 ikawa haionekani,au marehemu hakuiamini na huyu haiamini, ila ilikuwa ndege classic , ni jet nzuri tu. Au 20years old ni mtuumba rais hawezi kuitumia? Kama haijafa ipo.
Hii imeshakua ya Zamani haifai1. 5H-ONE ( Gulfstream)
View attachment 1775402
View attachment 1775403
2. Fokker
View attachment 1775405
View attachment 1775406
HAHAHAHA daaah nimecheka sana.Hili lenu waga wanalifunga mpaka na makomeo with at least 10 heavyweight manpower some must be militiamen π π π
View attachment 1775683
Siku hizi ndege kuwa poa nikukkiangalia kw macho tu alafu unatoa maoni yako, Mataga hamjamboMbona chuma kiko poa kabisa hicho.
Huwezi kumchukia mpaka marehemu
Ipo Gulf Stream. Muda mwingi inakuwa imeegeshwa Dodoma. Magufuli kaitumia sanaKila mara namuona Mama Samia akitumia ndege ya Air Tanzania kuzulu, tuseme hivi Tanzania hamna presidential plane ama vipi?
Huyo hayati wenu kwa sasa analiwa na mchwa kama kawa pamoja ya kutaka watu waishi kwa kumsujuduKuna makundi kadhaa ya watu wa hivyo:
1. Wapigaji wa makontena bandarini
2. Wapiga vipusa vya wanyama wa mwituni.
3. Wauza madawa ya kulevya
4. Mashoga
5. Vyeti feki
.
.
.
Orodha ni ndefu.
Sasa muulize KISIWAGA huyo yeye yuko kundi gani?