Haipo kwa sababu inakungoja wewe uje na franchise uanzishe..zipo Steers, Mary brown, Nandos,etc.
Unarudi lini kwani?
alikosa point....ha ha ha ha ha
umenifuraahisha mbona ,umeua kiasi hicho
Swali zuri lingekuwa wananchi vijijini wanapata milo mingapi kwa siku na milo hiyo inacomprise nini?
Why discuss macdonald, kfc, steers, mary brown wakati idadi kubwa ya watu wanaishi kwa asali na ubuyu ( wenye bahati ) miaka zaidi ya 40 baada ya uhuru na kuahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania.
Cha msingi watanzania tunakula vyakula salama ukilinganisha na hizo processed food wanazokula wenzetu, ukikuta chakula cha standard yetu kina lebo 'Organic' na bei juu.
Kama unataka macdonald ukiwa bongo umeipata - kanunue mkate na mayonnaise kibandani mtaani kwenu, tafuta kipande cha nyama upendayo choma chemsha juu yako, kata pande la nyanya na kitunguu, usisahau pande la kabichi weka hivyo vyote katikati ya mapande mawili ya mkate tafuta mkeka na kokakola jichane.
MacDonald=Unhealthy food. Hatuitaki Tanzania.
Kwanza hatutaki zije, haina maana kufagilia ajira zinazohatarisha maisha ya watu. Junk food should be discouraged with all efforts. Let our people eat their natural/organic food. Can't you see problems of obesity escalating in those western countries? The main reason,among others,is junk food! Usifagilie kila kitu cha huko majuu my buddy.
Ukitaka unaweza kuongea nao uanzishe. Target yako itakuwa middle class people. Pia unaweza kutumia akili yako na kuanzisha franchise yako binafsi. Huhitaji jina la Macs. Tena kwa nchi kama tz ambapo wao hawajapata market share...inakuwa fresh kabisa.
kwa hiyo nyie mnaoipinga in maana ikija itaathiri afya za watanzania wote au itasababisha msiwe na maisha bora mnayoyangojea kama nchi ya ahadi?????
Hivi Mcdonalds kuna ugali nyama choma jamani. Achilia mbali kiti moto. Kama hamna, basi haina haja hapa bongo.
...hivi tuna matatizo ya ukomo wa kufikiri?
...mawazo yale yale ya Ubepari ni adui wa haki!
...kwani unalazimishwa ule?
...yale yale,...! target ni kina nani kaka?
...angalau wewe umeangalia nje ya boksi!
..hebu waulize...
...hii ndio athari ya kila kizuri tunasema cha kizungu.
Bandugu mna bore!...
Hivi mnadhani kilio cha serikali watalii/expatriates waje kwa wingi Tanzania maana yake watakula kwa mama Ntilie? au mnataka wale huo ugali na nyama choma mnazozifagilia hapa?
Hamjaweza fikiri MacDonalds watawezesha ajira ngapi hapa nchini? kuanzia wafugaji, wafanyakazi, suppliers, nk? Leo hii hamuoni faida ya Mahoteli ya kitalii, Supermarkets chache tulizonazo, au Mlimani City kwa mfano mdogo?
Hatuwezi kuishi kwa kutarajia mama ntilie atakidhi mahitaji ya watu wote wanaoishi Mijini.
Kwa taarifa yenu, watalii wengi kwenye vigezo vya health & safety hupendelea kula kwenye known/tried and tested franchise kama hizo tajwa hapo awali, ikiwemo KFC, Burger King, Nandos etc, sio kwa mama Ntilie!
Msidhani kuwa kuiga mifumo ya kimagharibi ni dhambi ati tu kwakuwa Mwl Nyerere alisema wao ni makabaila na wanyonyaji! Tumejiingiza kwenye mfumo wa soko huria, lazima twende na matakwa yake.
Fikra mgando na mawazo ya hovyo hovyo, sasa mnatamani hata vitu vya kijinga kabisa.....
HATUTAKI!!!!!!!
sio lazima kwenda na matakwa ya kimagharibi. Wao wenyewe sasa hivi hawapendi junk food. Uliza ni watalii wangapi wangependa kwenda kula junk food uone watakavyokushangaa. Wewe vipi? FYI wanaokula kwenye hizo fast food points ni wale ambao either wana haraka sana au hawana uelewa na madhara ya junk food. Watu wengi waelewa hua wanaona aibu kwanza hata kule kuonekana sehem kama hizo eti wanaenda kula. Watu waelewa huthamini afya zao. Ndio maana hatutaki hizo McDonald kwa nguvu zote. Period!
...sio lazima kwako, sio kwa kila mtu. Nchi huru hii bana, wewe vipi?
halafu umeishikia bango hiyo junk food, unajua maana yake lakini?
Mwanangu kula tano!!!!!...hivi tuna matatizo ya ukomo wa kufikiri?
...mawazo yale yale ya Ubepari ni adui wa haki!
...kwani unalazimishwa ule?
...yale yale,...! target ni kina nani kaka?
...angalau wewe umeangalia nje ya boksi!
..hebu waulize...
...hii ndio athari ya kila kizuri tunasema cha kizungu.
Bandugu mna bore!...
Hivi mnadhani kilio cha serikali watalii/expatriates waje kwa wingi Tanzania maana yake watakula kwa mama Ntilie? au mnataka wale huo ugali na nyama choma mnazozifagilia hapa?
Hamjaweza fikiri MacDonalds watawezesha ajira ngapi hapa nchini? kuanzia wafugaji, wafanyakazi, suppliers, nk? Leo hii hamuoni faida ya Mahoteli ya kitalii, Supermarkets chache tulizonazo, au Mlimani City kwa mfano mdogo?
Hatuwezi kuishi kwa kutarajia mama ntilie atakidhi mahitaji ya watu wote wanaoishi Mijini.
Kwa taarifa yenu, watalii wengi kwenye vigezo vya health & safety hupendelea kula kwenye known/tried and tested franchise kama hizo tajwa hapo awali, ikiwemo KFC, Burger King, Nandos etc, sio kwa mama Ntilie!
Msidhani kuwa kuiga mifumo ya kimagharibi ni dhambi ati tu kwakuwa Mwl Nyerere alisema wao ni makabaila na wanyonyaji! Tumejiingiza kwenye mfumo wa soko huria, lazima twende na matakwa yake.
mtalii gani atafurahia kula mlenda kila siku????Hakuna chakula mbaya unhealthy kama McD,bora watu waanzishe franchise za vyakula vyetu wenyewe kama ugali,wali na mboga mboga,haya mambo ya mikate na burgers ni vyakula vyao...nafikiri mtalii atafurahi sana akija bongo na kula ugali,maharage na milenda yetu kuliko hizi burger za Mcd!
mtalii gani atafurahia kula mlenda kila siku????
kwa hiyo wewe kwa nini hutaki macdonald tanzania? kwani ni lazima uende kula??MBU:"Kwa taarifa yenu, watalii wengi kwenye vigezo vya health & safety hupendelea kula kwenye known/tried and tested franchise kama hizo tajwa hapo awali, ikiwemo KFC, Burger King, Nandos etc, sio kwa mama Ntilie!"
Mkuu, watalii wengi wanakuja kwetu ili waonje vitu tofauti. Ndio mana utawaona wengi wanakwenda sehemu kama Chef's Pride pale mjini n.k. Wewe unafikiri wanalipia ticketi za ndege ili waje kula McDonald's/KFC huku? By the way, wengi wanaofurahia hizo fast food joints huku "ulaya" ni wahamiaji, si wazawa!!!