Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Daaahha ha ha anatoa mapovu huyo ,sipatii picha ungekuwa naye karibu sijui ingekuaje
Afu jamaa unapenda kwenda jela kishenz yaan
Nadhan usha rud uraiani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaahha ha ha anatoa mapovu huyo ,sipatii picha ungekuwa naye karibu sijui ingekuaje
ha ha ha kwa nn?Daaah
Afu jamaa unapenda kwenda jela kishenz yaan
Nadhan usha rud uraiani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfalme Kimba eti kamzidi wizkid... labda kiumri.
Sio kwa kurudi huku nakumpitia Kiba moja kwa moja [emoji23] [emoji23] [emoji23]ile project ilibidi aende Mr Blue sema ndo ile ilishindikana kitu gani sijui ndo akapewa Kiba nafasi hiyo
Acha 2 mkuu. Nshajitoa muhanga! Come One Come All.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu ni uchochezi wa wazi kabsa
Si ulipgwa ban wewe mkuu[emoji1] ?ha ha ha kwa nn?
/
sawa mtazamo wako wewe upo vp?Huo ni mtazamo wako
yah imeisha leoSi ulipgwa ban wewe mkuu[emoji1] ?
Hahahayah imeisha leo
Nimeshakaribia mkuu kama unavyonionaHahaha
Karbu asee
ha ha haMi simpendi tu
Mi simpendi tu
Unatafuta kiki kupitia kwa dogo, fanya mambo yako acha unafiki,baba yako na mama yako hawajawahi kukuwish ata siku moja siku yako ya kuzaliwa,utakuwa umetumwaWadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki??
Kiba namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya kuzaliwa au kumpa pongezi yoyote msanii mwenzake ikiwemo kumpost kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa pongezi
Pia sijawahi kuona Kiba akisifia cha mwenzake kutoka moyoni kusifia kwake ukimuangalia usoni unaona kabisa hii pongezi haijatoka moyoni
Mimi navyoona Kiba alivyokuwa mdogo alikuwa akiimbiwa afiche vitu anavyonunuliwa ili atumie peke yake au hata chakula inawezekana alikuwa anakula chobingo akimaliza ndo anaenda kwa wenzake ,maana duuuuuh huyu jamaa ana roho mbaya alafu mbinafsi kichizi
We chukulia mfano insta ana followers millioni moja na ushee lakini yeye hamfollow mtu yeyote yule sasa kama huu sio ubinafsi ni nini??
View attachment 415252
Watu wa karibu wa Ally Kiba mshauri abadilike bhana la sivyo hata ikiwezekana iko cheo chake cha ubalozi wa wanyama anyang'anywe tu balozi gani ana roho mbaya namna hii kwa binadamu wenzake ataweza kupenda wanyama kweli??
Hujielewi umepotea jukwaa rudi siasaniUnatafuta kiki kupitia kwa dogo, fanya mambo yako acha unafiki,baba yako na mama yako hawajawahi kukuwish ata siku moja siku yako ya kuzaliwa,utakuwa umetumwa
Ali ayupo km unenavyo inawezekana akawa anamapungufu yake lkn sio makubwa km ivyosawa mtazamo wako wewe upo vp?
Kweli kabisa mkuuInawezekana malezi pia yamechangia tabia ya mtu ni kama ngozi haibadiliki