brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
- Thread starter
- #121
Toa ushahidiYeye anawapigiaga simu hataki haya mambo yenu ya Instagram.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa ushahidiYeye anawapigiaga simu hataki haya mambo yenu ya Instagram.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,asante mkuu kwa kuonesha roho ya uungwana na upendo ,wengine humu wanafurahi wakiona wenzao wamepewa ban[emoji15][emoji30][emoji30] hii ban iwe ya muda mfupi mana uyu mdau anatusaidia sn stori za Insta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huyu bwege ndo maaana hafiki popote hata show ya CB alitoa pesa ili tu aperfome....... ubinfafsi wake ndo umemzika kimziki mpka kina Le mbebez wanaaamua mpa makavu live
Celebrity huyo lazima azungumziweukifata kila kitu binadam wanachosema walahh utapasuka kichwa wala uwez endelea kila mtu uishi vile apendavo yy na cio wapendavo watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu Kiba bhana hii mikofia ya kikapu sijui anapewaga bure.....
hamna noma ,fresh tuNa wasiwasi na jinsia yako mtoa post.we ka sio shogaa bax sio ridhiki mbele ya mwenyez mungu..anyaway wanaume wa dar bana
Menejimenti ndio tatizoWadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki??
Kiba namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya kuzaliwa au kumpa pongezi yoyote msanii mwenzake ikiwemo kumpost kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa pongezi
Pia sijawahi kuona Kiba akisifia cha mwenzake kutoka moyoni kusifia kwake ukimuangalia usoni unaona kabisa hii pongezi haijatoka moyoni
Mimi navyoona Kiba alivyokuwa mdogo alikuwa akiimbiwa afiche vitu anavyonunuliwa ili atumie peke yake au hata chakula inawezekana alikuwa anakula chobingo akimaliza ndo anaenda kwa wenzake ,maana duuuuuh huyu jamaa ana roho mbaya alafu mbinafsi kichizi
We chukulia mfano insta ana followers millioni moja na ushee lakini yeye hamfollow mtu yeyote yule sasa kama huu sio ubinafsi ni nini??
View attachment 415252
Watu wa karibu wa Ally Kiba mshauri abadilike bhana la sivyo hata ikiwezekana iko cheo chake cha ubalozi wa wanyama anyang'anywe tu balozi gani ana roho mbaya namna hii kwa binadamu wenzake ataweza kupenda wanyama kweli??
ha ha ha na wewe mkuu ulikuwa mchoyo nini ulivyokuwa mdogo?Hahahaha....nimejikuta nacheka tu,
Ila sio vibaya hata mimi nilipata funzo hivihivi kabla sijakua.
Celebrity huyo anatofauti kubwa ya mimi na wewe lazima achimbweHaya maswala mengine person issue alafu sio lazima kulichimba ndo life mkuu awezi ishi utakavyo tumuache ishi atakavyo kwa sababu sio mtoto mdogo hiyo ndo lifestyle yake
hajielewi huyo mkuuUna uhakika gani ni wanaume wa dar.
Kama wewe sio fan wa celebrities kaa pembeni. Wasanii wetu ni vioo vyetu vya jamii na sisi km mashabiki wao tunawasapot kwenye kazi zao na kuwashauri wanapokosea.
Wanaume wa dar kwa Ali kiba tu au wasanii wote, wewe kama sio shabiki wa wasanii wa bongo shabikia kina Chriss brown na 50cent uwe mwanaume wa kimataifa.
To us Music is life
Hata kama kueni na mipaka coz hata hayo mnayowaambia sidhan kama wanayafanyia kaz kama wakiona havina maanaCelebrity huyo lazima azungumziwe
Wadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki??
Kiba namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya kuzaliwa au kumpa pongezi yoyote msanii mwenzake ikiwemo kumpost kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa pongezi
Pia sijawahi kuona Kiba akisifia cha mwenzake kutoka moyoni kusifia kwake ukimuangalia usoni unaona kabisa hii pongezi haijatoka moyoni
Mimi navyoona Kiba alivyokuwa mdogo alikuwa akiimbiwa afiche vitu anavyonunuliwa ili atumie peke yake au hata chakula inawezekana alikuwa anakula chobingo akimaliza ndo anaenda kwa wenzake ,maana duuuuuh huyu jamaa ana roho mbaya alafu mbinafsi kichizi
We chukulia mfano insta ana followers millioni moja na ushee lakini yeye hamfollow mtu yeyote yule sasa kama huu sio ubinafsi ni nini??
View attachment 415252
Watu wa karibu wa Ally Kiba mshauri abadilike bhana la sivyo hata ikiwezekana iko cheo chake cha ubalozi wa wanyama anyang'anywe tu balozi gani ana roho mbaya namna hii kwa binadamu wenzake ataweza kupenda wanyama kweli??
Ok90% ya wabongo ni mazombi
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] penda mm ww.ha ha ha wamenionea bhana eti kisa nimemuita Ally Kiba kibakuli ndo wakanipa ban
Diamond kila siku anaitwa domo humu sijaona mtu akipewa ban ila mimi nilivyomuita tu Ally K kibakuli hapo hapo wakanipa ban
Ndo allivyo huyo namfahamu tangu kitambo anavyotoka ila wasio mjua wataona namuoneayeye anajiita alikiba for real anajua yuko real kumbe hovyo tu,
Huyu jamaa hadi maisha ya kawaida ni mbinafsi nimewai kukutana nae mahala fulani kikazi alivyokua anatujibu nilichoka
Ha??ha ha ha wamenionea bhana eti kisa nimemuita Ally Kiba kibakuli ndo wakanipa ban
Diamond kila siku anaitwa domo humu sijaona mtu akipewa ban ila mimi nilivyomuita tu Ally K kibakuli hapo hapo wakanipa ban