Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

Alikiba ni Binadamu kama Binadamu Mwingine yeyote yule,
Anastahili kusamehewa pale anapokosea na hata pale ambapo hajakosea anastahili kuvumiliwa,
Huyu ni ndugu yetu kabisa 100%, ni Mtanzania Mwenzetu, Sisi kama watanzania tunapaswa kuwapigania,
Katika Maisha yangu watu ambao walikuja kuwa msaada kwangu ni wale ambao sikuwapa nafasi kubwa ya kunifaa,
Vivyo hivyo hata kama Alikiba atafanya lolote lile bovu kabisa Let us show him that we love him, we shall support him and we will be with him mpaka Ajue kumbe tunampenda siyo tu kwa vile ana mziki mzuri au yuko juu hapana ni kwa sababu ni Mtanzania Mwenzetu, we support him. Kuna kipindi miaka ya 2006/2007 Tulikuwa tunasoma Milambo Advance, Kule Bana Umoja ulitulinda, kiasi kwamba Tukisikia Mwanafunzi wa Milambo kapigwa tunakwenda kuvamia mpaka wakatuheshimu na tulikuwa tunatembea popote usiku na mchana, Kwa hiyo Siku zote tusifurahi kabisa fulani kutukanwa au kuanguka atasimama tena na atapiga hatua zaidi.
Ushabiki wa Team KIBA na Team MOND umefanya Mziki wetu ufike mbali sana, kwa sababu Diamond hataki kuwaangusha mashabiki so lazima atoe kazi nzuri, Vivyo hivyo Alikiba hataki kuwaangusha Mashabiki amejitahidi kutoa nyimbo nzuri ambayo imempa nominations nyingi for first time likewise MOND amejitahidi kufungua milango na kuonesha juhudi zaidi ktk kukuza sanaa ya TZ. Kwa hiyo hizi team zilete changamoto ya wao kufanya vizuri, ni kama simba na yanga tu.
Kilichotokea Mombasa hakuna mwenye ukweli 100%. Kwa sababu Hakimu yeyote yule ili atoe hukumu atahitaji Evidence(uthibitisho), Uthibitisho tulio nao ni kwamba Mic hazikufanya kazi, swala la kuzimwa linahitaji Evidence. Ukisema Meneja wa Diamond alikuja backstage hakuna shida, The Issue ni Evidence tunayo??? Kwa hiyo hatuna hukumu hapa. Kwa Vile sisi sote ni Watanzania tunapaswa kusameheana hawa vijana waendelee kuwapeni burudani.
Sallam K Meneja wake Diamond aliwahi kwenda kumeet na NEYO wakati wa COKE STUDIo na Leo tunavyoongea NEYO na MOND watakuwa na TOUR UK, Hili la Juzi hakuna Majibu ya Moja kwa Moja kwa sababu yatahitaji uthibitisho.
So vyovyote vile Namshauri KIBA abadili hasira alizo nazo afanye kazi nzuri zaidi, MOND naye kwa Hizi kelele afanye kazi nzuri zaidiiiiiiiiii! Ili mwisho wa siku tunatembea nje tukisema am from TZ inakuwa rahisi kupenya.
Let us support All!
Let us support our own
 
Unatafuta kiki kupitia kwa dogo, fanya mambo yako acha unafiki,baba yako na mama yako hawajawahi kukuwish ata siku moja siku yako ya kuzaliwa,utakuwa umetumwa
 
Unatafuta kiki kupitia kwa dogo, fanya mambo yako acha unafiki,baba yako na mama yako hawajawahi kukuwish ata siku moja siku yako ya kuzaliwa,utakuwa umetumwa
Hujielewi umepotea jukwaa rudi siasani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…