Utatokea nchi hiihii ya tz... Moro hiyohiyo...Ila kuna jamaa alituambia eti kuna upande wa mlima ukivuka upande wa pili unatokea mjini halafu distance yake ni fupi sema kikwazo ni mlima tu... Ndo tulitaka tujue kama ni kweli au cheche coz ukiwa town unauona mlima vzr tu.
Nadhani....Nasikia kuna jamii kama wasukuma kule... Japo sina uhakika.Kuna watu wanaishi nyuma ya ule mlima?
Hapana.Wasso.
Lapolom
Samunge
Engaruka
Lorien
dodge
Kwa kalembawani hukoooNop sikuvuka kiongozi...Tulikuwa wengi nia yetu ilikuwa kufika kilele cha mt.uluguru... Lakini tulipokaribia juu wengine wakaanza kuchoka na kuanguka anguka.. Walioshindwa safari tuliwaacha nyuma ila ilifika kipindi tukabaki wachache na muda uliyoyoma hivyo tukageuza kuwarudia wenzetu... Tukapita mashambani kwa waluguru ndo wakatupa hayo makaroti,ndizi wengine wakapewa hadi cabbage...Tukanywa maji tukaenda kilimahewa kushangaa shangaa baadaye tukarudi shule.
Huko kasulu ni kweliUkienda sehemu hizi kuna BAADHI ya Watz hawajui Kiswahili. Longido, Monduli, Mbulu, Missenyi (waganda Kyaka), Kibondo, Kakonko, Kasulu. Mwisho kabisa nahisi 50% ya Wasukuma hawaongei Kiswahili.
Ndo wapi huko
Mpaka sasa..siku hizi sema mambo yamekaza sio nyingi kaama miaka ile.Mongwe kule kipindi nasoma mzumbe sekondari niliendapo mara moja moja... Watu wanajua kiswahili na vigodoro wanacheza waluguru hao.
Nakumbuka nilitoa mia mbili nikapewa karoti nyingi kwelikweli na ndizi nikapiga deshi lunch... Waluguru noma.
Nin mkuu
Haha mi napajua mongwe tu... Kwingine nipo kapa