Hivi Tanzania kuna sehemu hawajui Kiswahili?

Niliwahi ingia dodoma vijijini huko ndani ndani kufata kuku watu wanachapa kigogo tu.πŸ˜€πŸ˜€
 
Mongwe kule kipindi nasoma mzumbe sekondari niliendapo mara moja moja... Watu wanajua kiswahili na vigodoro wanacheza waluguru hao.

Nakumbuka nilitoa mia mbili nikapewa karoti nyingi kwelikweli na ndizi nikapiga deshi lunch... Waluguru noma.
Hilo jina ni maarufu sana pale Uzumbeni. Eti mtu akiishiwa hela utasikia anasema "Niko Mongwe". I miss those old good days at Uzumbeni.
 
Hilo jina ni maarufu sana pale Uzumbeni. Eti mtu akiishiwa hela utasikia anasema "Niko Mongwe". I miss those old good days at Uzumbeni.
Haha 'kuingia au kwenda mongwe' Nakumbuka mkuu.... Sema kuna kipindi cholera ikizuka wale wamama wa canteen hawaleti mazaga wanaleta mikate tu halafu wanaipandisha bei....Wanafunzi wanaita 'uyahudi' sijui... Aisee hakuna kipindi nilichokimind pale skonga kama uyahudi.
 
Haha! Wale wamama wauza "Salo".
 
Karibu huku Yaeda Chini wadatoga kiswahili kinatupa shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…