Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we sio wa kwetu
Hilo jina ni maarufu sana pale Uzumbeni. Eti mtu akiishiwa hela utasikia anasema "Niko Mongwe". I miss those old good days at Uzumbeni.Mongwe kule kipindi nasoma mzumbe sekondari niliendapo mara moja moja... Watu wanajua kiswahili na vigodoro wanacheza waluguru hao.
Nakumbuka nilitoa mia mbili nikapewa karoti nyingi kwelikweli na ndizi nikapiga deshi lunch... Waluguru noma.
Haha 'kuingia au kwenda mongwe' Nakumbuka mkuu.... Sema kuna kipindi cholera ikizuka wale wamama wa canteen hawaleti mazaga wanaleta mikate tu halafu wanaipandisha bei....Wanafunzi wanaita 'uyahudi' sijui... Aisee hakuna kipindi nilichokimind pale skonga kama uyahudi.Hilo jina ni maarufu sana pale Uzumbeni. Eti mtu akiishiwa hela utasikia anasema "Niko Mongwe". I miss those old good days at Uzumbeni.
Haha! Wale wamama wauza "Salo".Haha 'kuingia au kwenda mongwe' Nakumbuka mkuu.... Sema kuna kipindi cholera ikizuka wale wamama wa canteen hawaleti mazaga wanaleta mikate tu halafu wanaipandisha bei....Wanafunzi wanaita 'uyahudi' sijui... Aisee hakuna kipindi nilichokimind pale skonga kama uyahudi.
Hahh haohao mzee.Haha! Wale wamama wauza "Salo".