Hivi Tanzania kuna wanawake watamu kuzidi kabila la wanyakyusa?

Dogo acha kuvuta makaratasi unakoelekea sio 😂😂😂
 
umepotea njia nn? Huyo Yesa amuulize baba yake aliiweka mbususu ya kazi gani? kama sio mizagamuo,!!! usipoitumia nikama kufukia talanta. shauri yako.
 
Hisia zikikuishia akili huanza kuteseka.
 
umemaliza kila kitu apo linatafutwa gereza la ndoa likipatikana hilo tutarajie uzi mwingine wa kuteseka na ndoa.
 
Nami ni mhanga wa wanawake wa kinyakyusa! Ni kweli watamu sana sana..
Ila hata wa makabila nyingine mdau!
All Africans roses are so sweet like honey from tabora babu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…