Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Umemaliza Kila kituKwenye harakati za kubembeleza ndoa huwa wanakuwa watiifu sana, akishaipata ndiyo hapo shughuli inaanzia. Kawaida kibarua huwa anajituma sana ili mwajiri amuone kwa jicho la kipekee, ila baada ya kulamba ajira sasa ndiyo rangi halisi hujitokeza.
Kwa uzoefu mdogo nilionao juu ya wanawake wa kabila hilo ni kuwa huwa wanapenda kuwa juu ya wanaume na kutawala nyumba.
Wajuvi zaidi wataongezea nyama