Hivi Tanzania kuna wanawake watamu kuzidi kabila la wanyakyusa?

Wamyaturu naona watamu sana, plus Warangi.. Haya ni maoni na mtazamo wangu maana ndio ambao nimebahatika nao, sijawai kula mwanamke tofauti na hayo makabila toka nimezaliwa hadi naenda kuzeekena 🫩🫩🫩
Mkuu hivi hao watoto wa kinyaturu wanapatikana kirahisi huko kwao?
 
Wana heshima kwa wanaume zao na wanajua mahaba kweli kweli! Na wana matako sio mchezo! Nilikuwa na mmoja ili nilimuacha kwa sababu zangu binafsi! Tulia naye hawabadiliki hao!
 
BEES mom
 
Ndiyo hso hutawala ndoa zao na waume zao kubaki watazamaji?Ndiyo hao kuwa na miji(familia) mbili hadi tatu na wanaume watatu kwa mikoa tofauti hawashindwi? Ndiyo hao huacha waume zao Mbeya na Songwe kisha wao kutimkia mikoa mingine kwa kigezo cha "mwanamke mchapakazi"? Ndiyo hao hupeleka mahawara zao nyumbani kwa waume zao na kusingizia kaka zao/gu-kaka gwangu?
 
Kwanini kitu kikiwa kizuri ama kitamu tunnambiwa ni dhambi?
Ikifahamika kuwa unakula mtoto mtamu basi utaambiwa Yesu anakuja!
Kwani nikiacha kula utamu hatakuja?
Siyo changa la macho tulitupiwa na wakoloni? Si ndiyo hao waliotuaminisha kuwa kuzagamuana ni usiku tu?
Wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu, na Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu. Naona hapa kwenye dini pana uongo mwingi sana aliouweka mwanadamu.
 
Wamyaturu naona watamu sana, plus Warangi.. Haya ni maoni na mtazamo wangu maana ndio ambao nimebahatika nao, sijawai kula mwanamke tofauti na hayo makabila toka nimezaliwa hadi naenda kuzeekena 🫩🫩🫩

Mzee baba ndio maana zile adverts zako huwa zimesheni watoto rangi fulani hivi unaiona kwenye king'amuzi cha DSTV tu...
 
Sio kweli labda unawachanganya na warangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…