Hivi Tanzania kuna wanawake watamu kuzidi kabila la wanyakyusa?

Nyongeza wajeuri sana sio watiifu kwa waume zao
 
Jikite kwenye mada mahsusi itapendeza. Kuna mdau kasema wanyakyusa wana shepu kali yaani tako mlima. Una maoni gani kuhusu hilo?
 
Utamu wa mwanamke:
1.Hautokani na kabila
2.Utamu ni suala la huyo anayetenda hilo tendo la ndoa
 
Yanakula hovyo mavitimoto na mabia
Unakutana na demu mzuri ila Tumbo kama gunia la viazi la kilo 800.


Wanawake wengi nchi hii hawajui sayansi ya kula. Majitu yanakula hivyo kitimoto na bia.


Ndio huko Mbeya madem wana maumbo ila matumbo yana size sawa na matako. Pia wengi wana sura za baba zao. Yani mtu ni nzuri akikupa mgongo. Subiri akuoe sura Sasa πŸ˜ƒ
 
yaani ulivoielezea ZINAA yako kwa ustadi mzuri kweli kweli......hakuna MWANAMKE asiye mtamu, nakukumbusha tu, mwinjilisti Mgogo shahidi.......utamu wa RIJALI ni bao, elewa neno RIJALI. ......muowe basi.....urudi hapa ukiwa na tutoto tuwili utupe story....nyambafu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…