Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Niliwahi kusikia ukimmkwaza mzaramo anaweza kukuchamba Hadi ukafa[emoji23][emoji23]
Au huwa wanasingiziwa tu[emoji23][emoji23]
Ni kweli utafiti wako ni sahihi, ndugu zetu hawa kwa asilimia kubwa ni watu waliojaa ukarimu na mapenzi kwa wageni.Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.
Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.
They mind their own business.
They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.
Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.
Wazaramo wako poa sana.
Hakuna watu poa kama wazaramo.
Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi...
Wazaramo oyeee
Wahehe/wabena oyee!
Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima.ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..
Ulivo andika km unaongea apigwa.... Mpk akata Moto.... Km Tanga hvMwizi hapigwi na rungu apigwa na misuto mpaka anakata moto
Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.
Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.
They mind their own business.
They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.
Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.
Wazaramo wako poa sana.
Hakuna watu poa kama wazaramo.
Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi.
Wazaramo oyeee
Wahehe/wabena oyee!
Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..
Ni kweli, nakumbuka Kuna siku nimeingia dar nikajisemea safari hii sifikii Kwa ndugu zangu....siku ya kwanza nikalala lodge (jasho likaanza nitoka pesa ya kikuda nilikuwa nayo) ...nikampigia simu dogo Fulani tulifamiana through Facebook...tegeta bees ndiyo nikalala kwake siku zilizosalia....tukamalizia ununio bch tupesa tulitobakia[emoji39]....wazaramo ni wema Kwa kweli[emoji120]
Nyie ndo mpo mkuranga?Vipi na sisi wandengereko?
Wasukuma hawapo poa, acha uongoWasukuma wako poa ila wana ile.kumshangaa shangaa mtu. Ila generally ni watu poa sana
Wafupi kama sabuni ya kipande.Vipi na sisi wandengereko?
Kitu pekee wasukuma wanaheshimu ni nguvuWasukuma wako poa ila wana ile.kumshangaa shangaa mtu. Ila generally ni watu poa sana
Great thinker wa kukariri huyu hapa amefikaWazaramo hawa hawa muda wote wanawaza kucheza ngoma? Wanawaza vigodoro? Oa mmoja uone 😀
Nilikuwa nafanya biashara tandale Tanesco ni wateja wangu Sana..... Ila naona mko poa labda sikuwa naish uko lkn kawaid tuu mpo freshRufiji
Wabishiii haoPia waha msiwasahau katika hili
Nimeishi nao sana. Wako poa na ni wakarimu sana.Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.