Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.

Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.

They mind their own business.

They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.

Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.

Wazaramo wako poa sana.

Hakuna watu poa kama wazaramo.

Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi...

Wazaramo oyeee

Wahehe/wabena oyee!

Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima.ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..
Ni kweli utafiti wako ni sahihi, ndugu zetu hawa kwa asilimia kubwa ni watu waliojaa ukarimu na mapenzi kwa wageni.
 
Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.

Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.

They mind their own business.

They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.

Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.

Wazaramo wako poa sana.

Hakuna watu poa kama wazaramo.

Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi.

Wazaramo oyeee

Wahehe/wabena oyee!

Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..

Vipi na sisi wandengereko?
 
Ni kweli, nakumbuka Kuna siku nimeingia dar nikajisemea safari hii sifikii Kwa ndugu zangu....siku ya kwanza nikalala lodge (jasho likaanza nitoka pesa ya kikuda nilikuwa nayo) ...nikampigia simu dogo Fulani tulifamiana through Facebook...tegeta bees ndiyo nikalala kwake siku zilizosalia....tukamalizia ununio bch tupesa tulitobakia[emoji39]....wazaramo ni wema Kwa kweli[emoji120]

Kwaiyo umeenda ununio kumalizia hela kisa umepata pakulala for life?
 
Ongezea wana mdomo mrefu
Wavivu kufanya kazi.
WAnadinyanyana bila nidhamu..
Wanabadilishana wanaume na wanawake kwa ile falsafa yao ya mafiga 3.

Ngoma sasa kila wiki kanga mpya ya ngomani.

Wana milo miwili...chai saa 9 jioni na ugali saa 2 usiku imetoka hiyoo
 
Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.

Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.

They mind their own business.

They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.

Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.

Wazaramo wako poa sana.

Hakuna watu poa kama wazaramo.

Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi.

Wazaramo oyeee

Wahehe/wabena oyee!

Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..
Nimeishi nao sana. Wako poa na ni wakarimu sana.

Mzee Mmoja hadi tulikuwa kama ndugu na wala siwajui na hawanijui.

Shida yao moja ni wachafu.

Yaani Nyumba yao kwanza ina jaa watu kibao unakuta nyumba ya Baba mmoja ina watu kama 20.

Nguo, ndoo, vyombo, magodoro na mazaga kibao wanatupa tupa.

Kwao utajiri ni jambo halipewi kipaumbele.

Wanajali utu na sio mali.
Wakiwa na ndugu mwenye Tatizo wanamchangia pamoja na umaskini na unyonge wao.

Hawasubiri Mtu afe kwa kukosa dawa ndio wachangie jeneza la mamilioni kama Makabila mengine.

Wakati naanza Maisha huko Mbagala Mvuti nilianza nao.

Kwenye swala la mapenzi mimi sikuwa na bahati nao na sikuwahi kujihusisha kabisa na mahusiano ya wanawake wao.
 
Back
Top Bottom