Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Daaah hadi sasa sijui kama nimeshawahi kuwa na rafiki au nina rafiki mzaramo.

Koo zao sio maarufu sana kama Wachaga na Wahaya etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…